New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 175
- 567
Tunduma tunaijua sisi silinde hakubaliki ccm wala chadema mpinzani mkubwa wa chadema angekuwa adeni mwakyonde ameanza kutia nia na kujenga chama mda sanaMwakajoka anakazi ngumu sana tunduma kapelekewa silinde ,silinde anakubalika na Chadema na CCM hili Jimbo gumu