Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Waliosemaga aliyeongoza kawe kura za maoni alibebwa na mjomba wake vipi mbeleko imetoboka?
Hiki ndio Chama Cha Mapinduzi - CCM
Safi sana mwenyekiti John Pombe Magufuli na team yako
 
Nikweli kabisa, lakini mimi sintomchagua Gwajima sio sababu ya dini yake lkn nikulingana na udini wake.

Ukimsikiliza sana Gwajima utagundua kuwa ana "exposure" kubwa juu ya masuala ya kitaifa na kimataifa.

Ila sidhani kama atapewa nafasi ya kuingia kwenye cabinet.

Lakini atakuwa na sauti sana Bungeni ya kunyamazisha baadhi ya hoja kutoka upande unaopinga.
 
Mkoa wa Mara update pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…