Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
Anaenda kuwa balozi USA Baiden akishinda
Bashitee vipi uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashitee vipi uko
Mfano gwajima Hana mvuto???? Embu nenda kampe pole halima mdee mwambie atafute kazi ingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Yule mwanamama utamuona bungeni wala usiwe na shakaJina la mgombea wa chadem segerea mlilitoa wap
Ni awamu kiongozi sio hawamu BTW gwajima hapigiwi kula na waumini anapigiwa na kawe HAWEZI kushindaAskofu Gwajima ndo TIBA SAHIHI ya Halima Mdee....Na hawamu hii msimamizi wa uchaguzi wala hata pata tabu kumtanganza mshindi maana CDM watapigwa mapema sana
Gambo wako na nani[emoji57]
Vip Ile ya usagaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Skendo ya ngono itamuangusha sana Gwajiboy na kwa taarifa wanasisiem hawampendi kabisa
Hata huyu Gwajima mcheza porn n tapeli lililojificha kwenye kivuli cha dini awe mbunge? Kweli Bongo hata paka anaweza kugeuka simba.Hapo patamu sasa, lkn H.Mdee harudi hata iweje amechokwa na kila mtu hata waliompigia debe kwa nguvu zote, binafsi naamini kabisa hata huyu dogo aliyeshinda maoni CCM Kawe angemuondoa Mdee Halima, ...
Hata hao walikatwa na ccm utawaona kweny u DED DC nkYule mwanamama utamuona bungeni wala usiwe na shaka
Hakuna lolote, kuwapitisha wahamiaji waliokataliwa na wajumbe ni dharau kwa chama
Chadema ilifanya mkakati kwa Segerea ila alichofanya Magufuli duuuuh! Huko majimboni hakukalikiHata hao walikatwa na ccm utawaona kweny u DED DC nk