Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Wamestuka kelele za mitandaoni. Wakabadili gia angani. Unadhani hawana akili kama wewe?
Hakuna cha kushtuka wala nn wajumbe walimkubali dogo ila sasa ngazi ya mwisho ya maamuzi imeona Gwajima ndo anafaa kupambana na CDM....hatutaki kutumia nguvu safari hiii majibu mtayaona wenyewe kampeni zikianza....ushindi mapemaaaaa
 
Wakuu ebu niangalizieni Mbunge Mteuliwa Jimbo la Meatu mkoa wa Simiyu ni nani?
 
safari imehamia kwa wajumbe..walitikusa sana sasa na wao wanatikiswa...washenzi ushenzini....
 
Nasikiliza hapa hawa jamaa wanatangaza majina ya waliopitishwa kugombea nafasi za ubunge.

Hivi mwanamke huwa anatumia prefix ya Ndugu au bibi?!

Si huwa tunatumia, kwa mfano, Ndugu Abubakari sadiki, Bibi Mariam sulemani,
Ndugu ni kwa wote, labda Bwana na Bibi
 
Ingekuwa Magu kaingia na majina yake then JERRY SLAA asingeonekana hapo.

Magu na Slaa ni mbalimbali kitambo.
 
Nimefurahi kumuona Dr Charles Kimei.

KAWE CHADEMA kabla ya saa saba mchana washachukua Jimbo lao.
 
Kimei akipita ubunge ama atakuwa waziri wa Fedha au atachukua nafasi ya kijana Bashungwa, viwanda na biashara.

Hay ndo maeneo ya huyu nguli wa uchumi.
Bila shaka nadhani atapewa Viwanda na Biashara.. Ila ningefurahi sana kama atapewa Fedha..
 
Back
Top Bottom