Wamestuka kelele za mitandaoni. Wakabadili gia angani. Unadhani hawana akili kama wewe?Waliosemaga aliyeongoza kawe kura za maoni alibebwa na mjomba wake vipi mbeleko imetoboka?
Hiki ndio Chama Cha Mapinduzi - CCM
Safi sana mwenyekiti John Pombe Magufuli na team yako
Alichofanya Magufuli kuja na majina yake mfukoni ni kama anaonyesha kuwa yeye ni CCM na CCM ni yeye
Mpaka sasa , gwajima keshashinda hapo.Askofu Gwajima ndo TIBA SAHIHI ya Halima Mdee....Na hawamu hii msimamizi wa uchaguzi wala hata pata tabu kumtanganza mshindi maana CDM watapigwa mapema sana
Mipango Pinda yasemekana hana mtoto wa kuzaaKavuu- Geophrei Mizengo Pinda ni mtoto wa aliyekuwa PM?
Gwajima anapigwa chini mzee!Mfano gwajima Hana mvuto???? Embu nenda kampe pole halima mdee mwambie atafute kazi ingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwahyo katambi kapitishwa????
Nyie mmesahau la John Mrem?Wote mpo sawa tu kwa hili.Alichofanya Magufuli kuja na majina yake mfukoni ni kama anaonyesha kuwa yeye ni CCM na CCM ni yeye
Hakuna lolote, kuwapitisha wahamiaji waliokataliwa na wajumbe ni dharau kwa chamaSi kweli, kasema wazi anayo mafaili yote pale na mwenye kutaka kuhoji asisite kufanya hivyo.
Wewe ndio hunaWamestuka kelele za mitandaoni. Wakabadili gia angani. Unadhani hawana akili kama wewe?
Jina la mgombea wa chadem segerea mlilitoa wapAlichofanya Magufuli kuja na majina yake mfukoni ni kama anaonyesha kuwa yeye ni CCM na CCM ni yeye
Jiwe kazidi bwana yani kafumba macho kuwakatili wajumbeNyie mmesahau la John Mrem?Wote mpo sawa tu kwa hili.
Gwajima hamuwezi Halima!Hapo patamu sasa, lkn H.Mdee harudi hata iweje amechokwa na kila mtu hata waliompigia debe kwa nguvu zote, binafsi naamini kabisa hata huyu dogo aliyeshinda maoni CCM Kawe angemuondoa Mdee Halima, ...
Yote hayo kwangu sio muhimu kama haheshimu dini yamtu mwingine.Ukimsikiliza sana Gwajima utagundua kuwa ana "exposure" kubwa juu ya masuala ya kitaifa na kimataifa.
Ila sidhani kama atapewa nafasi ya kuingia kwenye cabinet.
Lakini atakuwa na sauti sana Bungeni ya kunyamazisha baadhi ya hoja kutoka upande unaopinga.