Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Askofu Gwajima ndo TIBA SAHIHI ya Halima Mdee....Na hawamu hii msimamizi wa uchaguzi wala hata pata tabu kumtanganza mshindi maana CDM watapigwa mapema sana
Ni awamu kiongozi sio hawamu BTW gwajima hapigiwi kula na waumini anapigiwa na kawe HAWEZI kushinda
 
Umakini wa Gwajima Kawe?!

Hamtaamini kitu inaenda kuwapata, amalize kwanza kujibu kesi za kula waumini wake ndio aje ulingoni, we are ready!
 
Hapo patamu sasa, lkn H.Mdee harudi hata iweje amechokwa na kila mtu hata waliompigia debe kwa nguvu zote, binafsi naamini kabisa hata huyu dogo aliyeshinda maoni CCM Kawe angemuondoa Mdee Halima, ...
Hata huyu Gwajima mcheza porn n tapeli lililojificha kwenye kivuli cha dini awe mbunge? Kweli Bongo hata paka anaweza kugeuka simba.
 
Kimei kapeta naona kama yule mkuu wa wizara 💴 anaguna!!
 
Mwe!! bunge likiwa na Gwajima ndani....majagoni tutayasikia kama maamfifiro tutakoma tutakuwa tunaangalia bunge tukiwa na madikishenari.
 
Hakuna lolote, kuwapitisha wahamiaji waliokataliwa na wajumbe ni dharau kwa chama

Wajumbe wepi hao unaowazungumzia?

Maana wengi wamewekwa vikao na wamekiri kuleta mizaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…