Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Mtoa mada acha ugombanishi, suala la kukatwa halijaanza leo, toka mfumo wa kura za siri, halafu kuna walihonga wakapata kura nyingi na ushahisi uliwasilishwa, lajin pia kuna watu walipigiwa kqa mihemko lakin hawana uwezo kupambana na.wapinzani,mfano dogo aliyeshinda kawe, hawezi hata kuonhwa kwa hoja nzito yule
Chama kina jicho la kuangalia mtu mwenye nguvu ya kushindna., lakin hata katiba inasema kura za maoni siyo mwamuzi ni sehem tu ya mchakato.

Mtoa mada usituyumbishe
 
Kimei must be awe waziri tena kwenye hela. Ili nimeipenda ccm kwa jimbo la kawe mdee alizingua sana, gwajima kila jema. Maybe anaweza kuleta japo maendeleo kidogo.
Ila makonda poleeee! Ingawa utarudi kwa njia nyingine kwenye system ila utakua umejifunzaaa!
Mwanri imeniuma lakini naiwe hivyo!
 
Peter senrukamba chalii

Juma kapuya chalii

Mahamoud mgimwa chalii

Kangi lugola chalii

Mwamoto chalii

Mendradi kigola chalii
 
Mbona Asilimia 99 walikuwemo Bunge lililopita na hatujaona uchapakazi wao

Ndio hiyo point yangu, ongelea hawakuchapa kazi. Unaposema hawana mvuto inakua nje ya mada.

Mvuto unahusianaje na uchapa kazi?
 
Habari za mchana,.
Ni matumaini haisha yanaendelea hapo mlipo lakini kiukweli polen sana sana mlipambana kupata na kupitisha mliodhani ni watu sahihi kipeperusha bendera ya Ccm!!! Lakini ccm imethibitisha ina wenyewe nyie ni makambale tuuu hamna jipya na mlipoteza muda tuuu!!!!
Poleni na mchana mwema
Makonda je amerudishwa? Inauma...Kuna mijitu.imekatikia ccm viuno wee lakini ndo baba kasema
 
Kawe Halima hatoboi, kule Ndanda kwa Cecil Chadema kama kuna mtu mwenye ushawishi jimbo wanalichukua mapema tu..

Arusha ngoma nzito.. Lema anapendwa na vijana wa kiume ila Gambo wamama na wasichana wanamkubali sana..
Duh, hapo kwenye line ya pili utafiti ulifanya wapi ndugu?.
 
Nimefurahi MwanaFa kupitishwa lakini nilichogundua kwenye zile kura za maoni. Sio muongeaji mzuri na apunguze kuongelea vyeti vyake!!
Mzee wetu DCI mstaafu Adadi wamempiga chini au...kikubwa awe mtulivu...chama kina nafasi nyingi..
 
Amini nakwambia, Gwajima Kawe hatoboi. Kawe sio watu wa kumpapalikia mtu. Ni jimbo la wasomi wengi sana na watu wenye uwezo wa kifedha. Gwajima na mascandal yake Kawe hawezi toboa
Ni Jimbo la wasomi sawa, ila si unajua Halima alipita kwenye tundu la sindano uchaguzi wa 2015??
 
Back
Top Bottom