niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Kama sio yote basi ilemela au nyamagana ,moja linaweza kwenda upinzani hasa nyamagana. Nina wasiwasi sana.Ya mwanza sioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio yote basi ilemela au nyamagana ,moja linaweza kwenda upinzani hasa nyamagana. Nina wasiwasi sana.Ya mwanza sioni
Jifurahishe.. wangekuwa hawana mipango nae wangempitisha mshindi wa kwanza wa hilo jimboHawezi kupewa nafasi yoyote kwa ajili ya asili yake mark my word
Thubutu, amechinjiwa bahariniMakonda je amerudishwa? Inauma...Kuna mijitu.imekatikia ccm viuno wee lakini ndo baba kasema
Yaani kwenye field ya finance yuko smart Sana,ameipandisha CRDB Sana mpaka nje TZ,ni mtu ambaye ni potential Sana.Kichwa kizuri sana kile
Ngoja tuone mkuu. Nawasihi tuwe wavumilivu wakati wa matokeo.Huyu gwajima,aliesema misikiti ataigeuza Sunday school ndo atapita?
Sidhani Kama atapata kura kwa waumini wa kiislamu
Natamani kuona kwetu kwimba ukiyapata nitagYa mwanza sioni
Kulwa chali.Ati nini?
Mkuu tunaishi mitaani na tunaona na kusikia..Duh, hapo kwenye line ya pili utafiti ulifanya wapi ndugu?.
Alikuwa lakini sio sasa.Jana Kunambi kapigwa chini kaingia Mafuru.Kwani jumanne Maghembe alikuwa anatokea wapi
Shinyanga ccm wanachukua mapema sana wananchi walichoshwa na maseleShinyanga, Kawe, Tunduma, Momba na Arusha mjini CCM watapoteza majimbo mchana kweupe
Zitto alisema jana au juzi kwamba CCM haishindi hata jimbo moja Lindi!! He needs to dump his witch doctor fast!!LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
Lindi Mjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa
Chadema wamchukue ndungulile
*TARIME VIJIJINI* - Mh. WAITARA
Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha
DAR
Ubungo- Prof Kitila Kitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo
DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoa mji- Ally Juma Makoa
Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawene
Mpwapwa- George Nataly Malima
GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang'alwe- Hussein Amar
IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafinga mji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini-
Unae Gambo mkuu.
Busanda-Magesa
Sawa bana, ila nami namuonmbea Bw Mgambo apite Lema atafute shughuli nyingine tu.Mkuu tunaishi mitaani na tunaona na kusikia..
Kama ni utafiti basi waulize wanaosema Lissu au Lema atashinda Arusha pia utafiti wamefanya wapi??