Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Hiyo mirushwa yao hiyo, mimi wala siwaungi mkono kama mtoa mada anavyotaka kutuaminisha!
Nadhani umefika wakati mfumo wa kura za wajumbe ubadilishwe na badala yake zipigwe na wanachama wote ili kudhibiti mihemuko ya watia nia wanaoendekeza rushwa!
Itoshe kusema ..."ahsante"
 
Mleta Mada mwongo mkubwa monduli aliyeputishwa Ni Julius kalanga Sio Fred Lowasa Tena Raisi mwenyewe katamka

Tumieni approved List Sio hii ya uongo ya kutunga ya mleta mada
[emoji16] ile magufuli anaongea jana wamemu edit?

Anasema waitara kachaguliwa Ukonga
 
Screenshot_20200820-153354.png
 
Back
Top Bottom