Itoshe kusema ..."ahsante"Hiyo mirushwa yao hiyo, mimi wala siwaungi mkono kama mtoa mada anavyotaka kutuaminisha!
Nadhani umefika wakati mfumo wa kura za wajumbe ubadilishwe na badala yake zipigwe na wanachama wote ili kudhibiti mihemuko ya watia nia wanaoendekeza rushwa!
Kumbe hapo ndiyo wameshashinda?Zitto alisema jana au juzi kwamba CCM haishindi hata jimbo moja Lindi!! He needs to dump his witch doctor fast!!
[emoji16] ile magufuli anaongea jana wamemu edit?Mleta Mada mwongo mkubwa monduli aliyeputishwa Ni Julius kalanga Sio Fred Lowasa Tena Raisi mwenyewe katamka
Tumieni approved List Sio hii ya uongo ya kutunga ya mleta mada
Yapingwe kwa kutumia katiba na sheria ipi?Hivi haya maccm yameshatekeleza hii hukumu ya Mahakama ya Afrika Mashariki?
Hivi unategemea mtu kama Mama Salma Kikwete au Majaliwa kushindwa?!Kumbe hapo ndiyo wameshashinda?
KafuliaKafulila vipi?
Apite aende wapBabutale anayeweza kuja kuwa Baba mlezi wa Makonda kapita!!
Hapo kwa majaliwa sijaelewa elewaHivi unategemea mtu kama Mama Salma Kikwete au Majaliwa kushindwa?!
YesAmepita??????
Duh nimeona ila kuna mdada humu sijui naninani lowasa alinilisha tango poriKafulia
ulitegemea mwakyembe watamkinanasi?Hivi unategemea mtu kama Mama Salma Kikwete au Majaliwa kushindwa?!