Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

MWAKYEMBE KAPIGWA ZA USOO...

MAKONDA ZA USOOO....

STEVEN WASIRAA ZA USOO...

MZEE WA SOMAA HIYOOO MWAMRI.. KAPIGWAA CHINI.

WALIOPINDUA MEZA MPAKA SASA..

MWANA FA

ERIC SHIGONGO

MZEE WA UPAKO

NDUGULILEE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
acha kukurupuka na kuendeshwa kwa mihemko!!
 
Mkapa alitinga mwanza usiku wa manane kuja kutuliza ghasia, Wenje akaambiwa asaini akamtolea macho Mkapa. Ndo maana wanasema penye mgogoro Mkapa lilikuwa ni suruhisho la mwisho!
Yule mzee angekuwa baba yangu cha moto ningekiona,ahahhaha
Yule mzee ndiyo alikuwa speed governor wa Jiwe,amekufa sijui tutafanyaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…