wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ahaa. Ili wamtumie kwenye kampeniKapi ta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa. Ili wamtumie kwenye kampeniKapi ta
Wakikujibu ntagHivi zile gari za wabunge ukishindwa ubunge unazirudisha au ndio inakuwa yako jumlaa
Jana nilikutajia list ya waunga juhudi waliorudishwa bwashee. Niamini Jiwe kachoma msitu! Halafu haiingii akilini mtu kama Mwambe anapita halafu Makonda anaachwa.Kivipi bwashee?
Sioni sehemu Chadema itatoboa!
Wenje muziki anaujua vizuri bahati yake R.I.P Mkapa ametangulia mbele ya haki. Jamaa aligoma kusaini matokeo jimbo la Nyamagana akawashwa kibao akasema basi yaishe!Tatizo sio kwa mgombea, swala ni kwamba je CCM inakubalika Rorya? pili je mgombea anauzika?.
kwenye point ya pili, basi niiseme kuwa kati ya hawa wagombea Wenye ni maarufu na ni rahisi kukubalika na kuaminika ikiwa ni historia ya umahiri alioonyesha kwenye Bunge lililopita.
na pia ikumbukwe pia ukanda anaotoka huyu mgombea wa CCM ni tarafa ya Suba ambapo ni jamiiya wasimbiti na tarafa zingine zinazobaki ni jamii ya kabila za Wenje jambo ambalo litamrahisishia Wenje kwa urahisi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo mhe Mwinyijuma a.k.a Mzee wa Mabinti![]()
Dude is starting to rise to the expectations!!!
Ahahhhah eti kibao,mkuu ya kweli hayo?Wenje muziki anaujua vizuri bahati yake R.I.P Mkapa ametangulia mbele ya haki. Jamaa aligoma kusaini matokeo jimbo la Nyamagana akawashwa kibao akasema basi yaishe!
Huyo huyo nilimuamini sana kulingana naubini wake ila basiiiii tenaPole anajiita Jane(th)
Naona Madam Bonnah karudi?
Kwa kweli bye bye Lema ..Kipindi hiki sanaa sijui utamfanyia nani?Mrisho Gambo-Arusha
HahahaaaaWajumbe inabidi waitishe kikao cha dharula haraka..
Afu uteuzi akapita nan?Hahahaaaa
Shy town matokeo kura ya maoni:
1. Stephen Julius Masele - 152
2. Jonathan Manyama Ifunda - 65
3. Gasper Kileo - 51
4. Patrobas Katambi - 12
Hii ndiyo sihasa...