Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Ngoma ya kikurya hiyo... Mura, Owaching'ombe, Amang'ana gasarikire.... Nahamia Tarime mpaka kampeni ziishe ndio narudi jijini.
Rorya:chege vs wenje

Tarime(mj):kembaki vs matiko
.
Tarime(v):waitara vs heche

Hapa ndipo tutajua hatujuii
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Sio yule jamaa alikuwepo? kama ni rangi ya ki African inaweza kuwa Some body kishiwa nini? Kama ni yeye yule jamaa jembe saaana yaani saana anaweza kuwa hata waziri
Boniface Nyangindu Butondo
 
Screenshot_20200820-155535.png
 
Hivi zile gari za wabunge ukishindwa ubunge unazirudisha au ndio inakuwa yako jumlaa
 
Tatizo sio kwa mgombea, swala ni kwamba je CCM inakubalika Rorya? pili je mgombea anauzika?.
kwenye point ya pili, basi niiseme kuwa kati ya hawa wagombea Wenye ni maarufu na ni rahisi kukubalika na kuaminika ikiwa ni historia ya umahiri alioonyesha kwenye Bunge lililopita.
na pia ikumbukwe pia ukanda anaotoka huyu mgombea wa CCM ni tarafa ya Suba ambapo ni jamiiya wasimbiti na tarafa zingine zinazobaki ni jamii ya kabila za Wenje jambo ambalo litamrahisishia Wenje kwa urahisi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajasema Sugu atashinda ila alitaka vigezo ulivyotumia, naamini kwa sanduku la kura hakuna wa kumwangusha Sugu ila kwa mambo yetu yale sidhani kama sugu atatoboa
Sawa mkuu tarehe 29 asubuhi naomba uje hapa
 
Hayo maendeleo mnayotoa kwa upendeleo kwani hizo pesa mnazitoa kwenye mifuko yenu?

Akili zenu sijui zinafanya kazi gani.
Hata kama pesa hazitoki kwenye mifuko yao wao ndo waliozishikilia. Piga ua garagaza, kodi lazima wapelekewe na wao ndo wenye maamuzi ya kuzigawa.
Binafsi kwenye mhula huu najianika wazi kuwa ni mkanda. Kwa mara ya kwanza kanda ya ziwa imepata mtu anayewapendelea kama wakaskazini wanavyopendeaga kwao wakiwa na madaraka. Ni wakati wa kanda ya ziwa kutumia hii fursa. Atakaye fuata hajulikani.
 
Back
Top Bottom