Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Screenshot_20200820-160627.png
 
Kivipi bwashee?

Sioni sehemu Chadema itatoboa!
Jana nilikutajia list ya waunga juhudi waliorudishwa bwashee. Niamini Jiwe kachoma msitu! Halafu haiingii akilini mtu kama Mwambe anapita halafu Makonda anaachwa.
 
Tatizo sio kwa mgombea, swala ni kwamba je CCM inakubalika Rorya? pili je mgombea anauzika?.
kwenye point ya pili, basi niiseme kuwa kati ya hawa wagombea Wenye ni maarufu na ni rahisi kukubalika na kuaminika ikiwa ni historia ya umahiri alioonyesha kwenye Bunge lililopita.
na pia ikumbukwe pia ukanda anaotoka huyu mgombea wa CCM ni tarafa ya Suba ambapo ni jamiiya wasimbiti na tarafa zingine zinazobaki ni jamii ya kabila za Wenje jambo ambalo litamrahisishia Wenje kwa urahisi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenje muziki anaujua vizuri bahati yake R.I.P Mkapa ametangulia mbele ya haki. Jamaa aligoma kusaini matokeo jimbo la Nyamagana akawashwa kibao akasema basi yaishe!
 
Wenje muziki anaujua vizuri bahati yake R.I.P Mkapa ametangulia mbele ya haki. Jamaa aligoma kusaini matokeo jimbo la Nyamagana akawashwa kibao akasema basi yaishe!
Ahahhhah eti kibao,mkuu ya kweli hayo?
 
Back
Top Bottom