waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 349
Ngoja tumuone kama ataweza au mpaka awezeshweNaona Madam Bonnah karudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tumuone kama ataweza au mpaka awezeshweNaona Madam Bonnah karudi?
Umenikumbusha sijui vpMbona simuoni JANUARU MAKAMBA?????
Mbona simuoni Goodluck Milinga na JumanNkamia??Mbona simuoni JANUARU MAKAMBA?????
Simpati picha mume wake....Ngoja tumuone kama ataweza au mpaka awezeshwe
Goodluck Yupoo...Msukuma sio???Mbona simuoni Goodluck Milinga na JumanNkamia??
Mkapa alitinga mwanza usiku wa manane kuja kutuliza ghasia, Wenje akaambiwa asaini akamtolea macho Mkapa. Ndo maana wanasema penye mgogoro Mkapa lilikuwa ni suruhisho la mwisho!Ahahhhah eti kibao,mkuu ya kweli hayo?
Simpati picha mume wake....
Hatuwez kumpa *mangi* asimamie Wizara ya HELAkimei waziri wa fedha ajaye
Yule mzee angekuwa baba yangu cha moto ningekiona,ahahhahaMkapa alitinga mwanza usiku wa manane kuja kutuliza ghasia, Wenje akaambiwa asaini akamtolea macho Mkapa. Ndo maana wanasema penye mgogoro Mkapa lilikuwa ni suruhisho la mwisho!
Vipi ummy mwalimu?Jana nilikutajia list ya waunga juhudi waliorudishwa bwashee. Niamini Jiwe kachoma msitu! Halafu haiingii akilini mtu kama Mwambe anapita halafu Makonda anaachwa.