Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Bunge la 2020/25 kitakuwa na watoto wa vigogo wakiwa wabunge Kama ifutavyo=
1.mtoto wa kawawa, Vita kawawa
2.mtoto wa Pinda
3.mtoto wa Lowasa
4.mtoto wa kikwete
5. Mtoto wa Moses mnauye
6. Mtoto wa mhagama
7.mtoto wa makamba
8. Ongezea......
Livingstone Lusinde
 
Ushauri wa bure
Waliokatwa wasikate tamaa bali wawaunge mkono waliopitishwa ili lengo la chama litimie, juhudi zao zitakuja kuwalipa baadaye
Umoja ni Nguvu
 
Gwajima anakwenda kutafuta aibu nyingine Kawe baada ya kutoridhika na aibu ya uzinzi.
 
Ushauri wa bure
Waliokatwa wasikate tamaa bali wawaunge mkono waliopitishwa ili lengo la chama litimie, juhudi zao zitakuja kuwalipa baadaye
Umoja ni Nguvu
Wao wameungwa mkono? .
 
Ila siasa ni dirty game hamna anayejua kwa nn Gambo amepita...,kwa sisi wana nchi tuna jua alitumbuliwa kwa sababu ya rushwa ila si kwel...kila kitu kili pangwa...,labda tumuite Gambo atueleze kwa nn aliondolewa ...mkuu wa mkoa....
 
Mmetenda haki kwa Mvomero, Morogoro kwa kumuengua Amos Makala. Huyo ni mshenzi na jambazi. Alikuwa RC Mbeya lakini ni hovyooo kabisa. Mwache sasa arudie ujambazi wake tumfunge kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…