Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Tarajieni Polepole na Dr Bashiru kujiuzulu leo. Misimamo yao sio sawa na Mwenyekiti. Eti atatushikisha adabu, Thubutu!!
Kwa upande wa Polepole na Bashiru, hawana ubavu wale! Lakini nyie wenye misimamo wakitusumbua tuhamie kwa Lisu!
 
CCM ni taasisi imara kabisa Mambo yake yanakwenda kwa mipango.

Inapendeza Sana.
Uimara was ccm hilo halina shida.Shida no pale wanaoo tumia dola na raslimali za Taifa kuminya Uhuru wa vyama vingine.Miaka mitano vyama vimezuiliwa kufanya kazi .TV zote hazi onyeshi matukio ya wapinzani.Niccm tu
 
Hivi haya maccm yameshatekeleza hii hukumu ya Mahakama ya Afrika Mashariki?
 

Attachments

  • Screenshot_20200820_103832_com.android.chrome.jpg
    131.3 KB · Views: 1
Hapa tuweke record sawa, Lema hajawahi kushinda ubunge kwa kura za matajiri, ni machalii wa "r" na hustler wengine ndio wanaompa Lema ubunge kila akiuhitaji Arusha Mjini.

Hao matajiri kazi yao ni kumchomea nyama na bia baridi wakati akifurahia ushindi.
 
Isee wewe unaota, hivi hata wewe unaweza kuliacha lile Land cruiser V8 maposho lukuki, mshahara mnono na kuonana na Rais wakati wowote?

Au hukumsikia Profesa mzima Kabudi anasema aliokotwa jalalani? Nani anataka kurudi jalalani?
Anafanya mchezo huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…