google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
unaweza kuwa mwanzo mpya wa bashiteMacho na masikio yetu yameelekezwa hapo, tunasubiri kupata kujua mwisho wa Bashite.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kuwa mwanzo mpya wa bashiteMacho na masikio yetu yameelekezwa hapo, tunasubiri kupata kujua mwisho wa Bashite.
Ni yeyeMkisikia Arusha mnitag........I can’t wait......
wabunge wengi ccm akili zao inabidi kuzinyumburisha na kuzirasimisha kwa maamuzi yao kupitisha ya kikokotooWakimpitisha Ndugai nitawashangaa sana huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi
Kwa upande wa Polepole na Bashiru, hawana ubavu wale! Lakini nyie wenye misimamo wakitusumbua tuhamie kwa Lisu!Tarajieni Polepole na Dr Bashiru kujiuzulu leo. Misimamo yao sio sawa na Mwenyekiti. Eti atatushikisha adabu, Thubutu!!
Narudia, CCM ndio chama makiniCcm haikuwashi ndugu
Uimara was ccm hilo halina shida.Shida no pale wanaoo tumia dola na raslimali za Taifa kuminya Uhuru wa vyama vingine.Miaka mitano vyama vimezuiliwa kufanya kazi .TV zote hazi onyeshi matukio ya wapinzani.Niccm tuCCM ni taasisi imara kabisa Mambo yake yanakwenda kwa mipango.
Inapendeza Sana.
Hizo ni ndoto tu, sisi tunahitaji Makonda aje atusaidie kwenye mambo yetu.Kila la kheri ushindi wetu ubaki kama wajumbe walivyoamua!
Mzee wa kaya ni mtu wa kubadilika sana, especially mambo yanayohusu chama chake. And namuona kwenye vikao vya NEC anakuwa mdogo sana na mnyenyekevuMzee wa kaya hampendi ndungu
😂😂 Kumbe hadi wewe hutaki RC mstaafu apite?Kila la kheri ushindi wetu ubaki kama wajumbe walivyoamua!
Hapa tuweke record sawa, Lema hajawahi kushinda ubunge kwa kura za matajiri, ni machalii wa "r" na hustler wengine ndio wanaompa Lema ubunge kila akiuhitaji Arusha Mjini.Hakuna jipya, Arusha ni Mrisho Gambo, ccm bila rushwa ni sawa na uji na mgonjwa.
Ccm ina mkakati wa kulipata jimbo la Arusha, na ni Mrisho Gambo peke yake ndio mwenye uwezo wa kutunishiana msuli na Lema hapo Arusha.
Chadema wakae sawasawa ili kulilinda jimbo hilo maana ccm wapo serious wanalitaka na matajili wa Arusha wameshawekwa sawa kama wanataka kufanya biashara basi waipe ushindi ccm, hizi ni taarifa za ndani, Lema asishangae akinyimwa misaada na matajili waliokuwa wanampa ufadhili, huu ni mkakati kabambe wa ccm.
Anafanya mchezo huyo!Isee wewe unaota, hivi hata wewe unaweza kuliacha lile Land cruiser V8 maposho lukuki, mshahara mnono na kuonana na Rais wakati wowote?
Au hukumsikia Profesa mzima Kabudi anasema aliokotwa jalalani? Nani anataka kurudi jalalani?