Mtemi kapitishwaa
Wee mchumia tumbo embu muulize spika wako Ndugai Nani alikuwa anamuazima material akikupa jibu uje ufute uharo wako hapaHayakuhusu hangaikeni na sugu form four failure na Mbowe form six division zero na Mwakanjoka darasa la Saba
CCM hatuna mwenyekiti chama wa taifa wa division zero form six Kama Mbowe wa kwenu
Nazungumzia kura za wajumbe na si kura yangu. Kwani Uchaguzi ni wa nani?Hapana, kura yako si haki yako, ukitaka na wewe kaandae li uchaguzi lako.
Alikuwa jimbo gan?Kigwangala sijaliona jina lake. Je, wamempiga spana?
Yupo nimemuona, Nzega hapo utamuona.Kigwangala sijaliona jina lake. Je, wamempiga spana?
Patrobas Katambi alichaguliwa na wajumbe?Natoa shukurani kwa kamati kuu taifa na Halmashauri kuu kwa kuwacha maamuzi yale yale ya wajumbe hakika tumeshinda tukutane mjengoni!
Kabisa kabisa..wako na akili mingi,lakini upande wa kaskazini wanakwama sanaaaaCCM ni taasisi imara kabisa Mambo yake yanakwenda kwa mipango.
Inapendeza Sana.
Halafu hao ndiyo walipokuwa ikulu walikuwa wakiwataka vijana wajiajiriMama JK nae angetulia tu. First lady unataka nini tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Yupo anamenyaa viaziii hukooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama wa rushwa Mary Mwanjelwa imekuwaje? Mwenye taarifa atuwekee hapa tafadhali.
Du huyu wa Mkinga Dastan Kitandula bado yumo,hili jina nilianza kusikia karne iliyopita nikiwa kijana barobaro
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi...
Hatari sanaMwenyekiti hataki watu waliomzidi weledi , anataka magalasa
Mwenyekiti hataki watu waliomzidi weledi , anataka magalasa
ni kwelu kabisa mwenyekiti hapendi hizi degree 4-4 maana yeye ana 3 za kuunga unga lakini mbona kuacha zero wa taifa(Saudi Albert Bashite)Mwenyekiti hataki watu waliomzidi weledi , anataka magalasa