Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Msumari wa mwisho kwa Bashite. Siku hizi hana lolote. Kweli vyeo vya CCM vimembeba sana. Yeye kama yeye hana lolote. Hata kujiajiri kashindwa kutwa kuwaambia vijana wenzao wajiajiri.
Ndo hivyo watu wengi wakishapata pesa au madaraka ndo anakua na majivuno na kiburi, vikimuisha hana lolote. Nasiku zote wale wanaopata vyeo au pesa kwa njia zakuunga unga ndio wanaokua namajivuno na mdomo kuliko waliovipata kialali.
 
Msumari wa mwisho kwa Bashite. Siku hizi hana lolote. Kweli vyeo vya CCM vimembeba sana. Yeye kama yeye hana lolote.Hata kujiajiri kashindwa kutwa kuwaambia vijana wenzao wajiajiri.
Wanasiasa hupenda kuwambia vijana wajiajiri ilihali wao wamejiriwa.
 
Eti kuna watu wanatarajia watu kukatwa! Magufuli hana ubavu huo, ndiye muasisisi wa rushwa kwa kuwanunua wapinzani. Vilevile mnakumbuka sakata la sisi wabunge wa CCM kuhongwa milion 10 Kila moja?

Ilikuwa ili tupitishe mswada wa hovyo na Magufuli aliitoa hiyo Rushwa! Ana ujasiri gani wa kutukata majina? Ajaribu aone moto! Polepole na mbwembwe zake kusema atatushikisha adabu, anaumbuka leo!
 
Tafadhali huu uzi msiujaze msubiri waliokatwa ndi muweke majina.
 
Mkisikia Arusha mnitag. I can’t wait.
Hakuna jipya, Arusha ni Mrisho Gambo, ccm bila rushwa ni sawa na uji na mgonjwa.

Ccm ina mkakati wa kulipata jimbo la Arusha, na ni Mrisho Gambo peke yake ndio mwenye uwezo wa kutunishiana msuli na Lema hapo Arusha.

Chadema wakae sawasawa ili kulilinda jimbo hilo maana ccm wapo serious wanalitaka na matajili wa Arusha wameshawekwa sawa kama wanataka kufanya biashara basi waipe ushindi ccm, hizi ni taarifa za ndani, Lema asishangae akinyimwa misaada na matajili waliokuwa wanampa ufadhili, huu ni mkakati kabambe wa ccm.
 
Msumari wa mwisho kwa Bashite. Siku hizi hana lolote. Kweli vyeo vya CCM vimembeba sana..Yeye kama yeye hana lolote.Hata kujiajiri kashindwa kutwa kuwaambia vijana wenzao wajiajiri.
Kigamboni ni Ndugulile na si vinginevyo, kama kuna makosa Magufuli hawezi kuyafanya duniani ni pamoja na hili zigo la mavi ambalo alikuwa hajui alituwe vipi lakini finally likajiondowa lenyewe, kama kuna jimbo ambalo wala halina mjada kuteuwa mgombea basi ni kigamboni, Ni Ndugulile.
 
Eti kuna watu wanatarajia watu kukatwa! Magufuli hana ubavu huo, ndiye muasisisi wa rushwa kwa kuwanunua wapinzani. Vilevile mnakumbuka sakata la sisi wabunge wa CCM kuhongwa milion 10 Kila moja? Ilikuwa ili wapitishe mswada wa hovyo na Magufuli aliitoa hiyo Rushwa! Ana ujasiri gani wa kutukata majina? Ajaribu aone moto! Polepole na mbwemvwe zake kusema atatushikisha adabu, anaumbuka leo!! Mpuuzi mkubwa.
Mkuu hawadhubutu kukukata, wanakujua na wakijaribu tu, waoneshe! Unajiunga tu upande wa pili, unafungua watu macho!
 
Yule kiongozi wa ccm aliye jiamini mpaka kupiga makofi gari la polisi leo sijui atafanya nini tena?
 
Back
Top Bottom