JENERALI
tusikabulai kwenda haraka haraka. Katika majanga makubwa yaliyopata jamii yetu ni faster faster. Kaitba sio zoezi la taasisi moja. Sio zoezi la rais, chama, wala waandishi wa habari bali ni suala la wananchi wote. Bila shaka rais kwa nafasi yake anaweza kusimamia jambo hili, vyama vya sias vinaweza kumobilize watu wake katika kuongoza vipengele muhimu, wanazuoni nao, na hata pande zote lakini muhimu zaidi ni wananchi wote na wananchi wote lazima wazungumzie katiba wakati wote, wakiwa wanaenda kulima, kuvua samakietc wanajukumu la kuchukua nafasi zao pamoja na civil societies kushiriki kama msimamizi mkuu wa mapokeo ya udhamini wa muendelezo wa mapokeo ya kidemokrasia. Kazi hii sio ya serikali. Kazi ya serikali ni kudhibiti na kukamata na kuzuia hata kama ukuta unataka kuanguka. Kwa silika ya serikali hakuna serikali inayoweza kudemocratize mambo mpaka isukumwe.
sERIKALI YENYE BUSARA na kuwajibika inajua kusoma wakati na kujua historia ya dunia na kujua ni wakati gani wa ku-give in. Ben ali hakusoma hizo ishara na sisi tjifunze kuzisoma hizo ishara. Guarantor au mdahmini mkuu wa democratic tradition ni civil society. kazi yao sio kusifia srikali baLI KUishinikiza kufahamu ya kuwa inaumiza wananchi
My own word¨s:; Dah, najitahdi ila kazi kweli kweli, sio rasmi