Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

ulimwengu;mwanasheria chenge alikuwa tayari kumfanyia lolote mkapa analitaka lifanyike hata si la kisheria mf.sheria ya rais kutangazwa mshindi hata kama kapata 19%
kWA MTINDO HUU WA RAIS KUJITEULIA MAWAZIRI, hii hali itakuwa ngumu sana kui'reset maana haielekei kuwa itakuja badilika!
 
Katika kongamano la Katiba mpya Jenrali amesema kuwa Harakati za Kudai katiba mpya zisilengwe katika kuiondowa CCM madarakani.
Hii imekaavipi na mapambano dhidi ya CCM?
 
Jackbuwer mtupe hayo maneno yanayomuumbua si wengine hatuoni huku....
tuambie kile kilichosemwa..

kutokana na ile hoja ya gharama ya kuwa na katiba mpya.amemuambia aangalie gharama walizoingia kenya na zile walizoingia Tunisia jana.
 
ulimwengu; utawala wetu bado umeshikiliwa na kitovu cha ukoloni hivyo iko haja tukae pamoja aaah! matangazo yamekatika
 
Asante sana Michelle, anawaponda kwa kubadili vipengele vya katiba ili wao na chama chao wafaidike.

Bora waseme,naona na leo yatafumuka ka ya jana kwenye DOWANS.......asante Katavi!
 
Polisi hawezi kuwa mtawala wa wananchi labda polisi wa kikoloni.polisi ni mtumishi wa wananchi-ulimwengu
 
ulimwengu;polisi si mtawala wa wananchi bali ni mtumishi wa wananchi.tuendelee kufanya kampeni ya katiba hii maana hatuna uhakika kuwa katiba hii tunaweza kuipata muda mfupi yaweza kuwa baada ya miaka 5 au zaidi
 
Ulimwengu haamini kama katiba mpya inawezekana ndani ya miaka 5 ijayo.
 
Back
Top Bottom