Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini unapoteza muda badala ya kwenda kusimamia vibarua watifue vizuri mashamba, halafu utafute dawa ya kuua ruba wanatesa sana hasa wakati wa kupanda na palizi.
Kawajibike acha kupoteza muda kusubiri video you tube. Nyie ndio mnaorudisha nyuma kukua kwa uchumi wa nchi hii.
duuuuu mkuu ubaya unamwisho nini!????Quinine, nakuoma tafadhali, cool down. Hapa JF tulumbane kwa hoja na tujaribu kutupiana matusi ya nguoni. Nadhani kila mmoja wetu hapa yupo kwa kutaka mema na si kwa kutakiana mabaya. Naomba punguza ghadhab na jazba.
Katavi Mjadala Umekwisha au?
kama na wewe ni mtu mzima basi tanzania tunavipande vingi zaidi. mbona wewe mzee wa pumba sana.
Asante sana, nami nashukuru kwa kuwa pamoja nasi katika mjadala huu!!Niwashukuru wote mliotushirikisha kupata nini kilichokuwa kinaendelea huko....endeleeni na moyo Huo na Mungu awabariki Mapambano ndio yameanza.
Lipumba full kupeana tano na Kombani..teh teh teh
Lipumba full kupeana tano na Kombani..teh teh teh
Umekwisha, hivi sasa ni neno la shukrani linatolewa na mwenyekiti wa UDASA ambao ndio walioandaa mjadala huu. Kifupi mjadala umekwisha Zipuwawa!!
kweli mkuu umebadilika!Unajuwa kila mtu ana muono wake, the best among us ni yule anaesikiliza na kutazama muono wa mwenzake. Pengine kuna unachokiona wewe mimi sikioni na vice versa.
Lipumba full kupeana tano na Kombani..teh teh teh
kweli mkuu umebadilika!