Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Tusiruhusu rais, bunge na vyama vya siasa kuteka mjadala wa katiba mpya.
 
Sasa kwa nini unapoteza muda badala ya kwenda kusimamia vibarua watifue vizuri mashamba, halafu utafute dawa ya kuua ruba wanatesa sana hasa wakati wa kupanda na palizi.

Kawajibike acha kupoteza muda kusubiri video you tube. Nyie ndio mnaorudisha nyuma kukua kwa uchumi wa nchi hii.

Nimeshamaliza yote hayo sasa nataka nipate habari kuhusu nchi yangu inavyokwenda... lakini kuna wazembe hawafanyi kazi zao.... hadi tunategemea wananchi wengine wawafanyie.... haya ngoja na mimi niwe mwanahabari sijui haya majaruba atalima nani?
 
Pro shivji katika kufunga mdahalo amerudia kama zaidi ya mara moja akisema "vijana wenzangu"
 
Kitila Mkumbo anashukuru na mjadala unaelekea kufungwa na mwenyekiti wa UDASA, kumbe kuna mijadala mingi inafuata, huu ni mwanzo tu!!
 
Quinine, nakuoma tafadhali, cool down. Hapa JF tulumbane kwa hoja na tujaribu kutupiana matusi ya nguoni. Nadhani kila mmoja wetu hapa yupo kwa kutaka mema na si kwa kutakiana mabaya. Naomba punguza ghadhab na jazba.
duuuuu mkuu ubaya unamwisho nini!????
 
so what? uende kulala...kama anajiona kijana tatizo lako nini?
 
Niwashukuru wote mliotushirikisha kupata nini kilichokuwa kinaendelea huko....endeleeni na moyo Huo na Mungu awabariki Mapambano ndio yameanza.
 
Katavi Mjadala Umekwisha au?

Umekwisha, hivi sasa ni neno la shukrani linatolewa na mwenyekiti wa UDASA ambao ndio walioandaa mjadala huu. Kifupi mjadala umekwisha Zipuwawa!!
 
Shivji amewakanda Chadema indirectly kwa kuwaambia sio sahihi kusababisha mauaji ya watu ili kufikia malengo ya kisiasa. It is too high a price to pay.
 
Lipumba full kupeana tano na Kombani..teh teh teh
 
kama na wewe ni mtu mzima basi tanzania tunavipande vingi zaidi. mbona wewe mzee wa pumba sana.

Unajuwa kila mtu ana muono wake, the best among us ni yule anaesikiliza na kutazama muono wa mwenzake. Pengine kuna unachokiona wewe mimi sikioni na vice versa.
 
Niwashukuru wote mliotushirikisha kupata nini kilichokuwa kinaendelea huko....endeleeni na moyo Huo na Mungu awabariki Mapambano ndio yameanza.
Asante sana, nami nashukuru kwa kuwa pamoja nasi katika mjadala huu!!
 
Unajuwa kila mtu ana muono wake, the best among us ni yule anaesikiliza na kutazama muono wa mwenzake. Pengine kuna unachokiona wewe mimi sikioni na vice versa.
kweli mkuu umebadilika!
 
Back
Top Bottom