Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Wanawake kwa kweli wametuangusha, kumbe walipewa mialiko kwa wingi halafu hawakutokea.....mbaya zaidi wale waliofika hata hawakuchangia, eti wamechangia watatu siui wanne wale.
KONGAMANO LIMEAHIRISHWA RASMI.
 
Asanteni sana, mjadala umeahirishwa hadi wakati mwingine tena!!
 
Alichojichanganya ni kipi hapo?. Lini kusema mimi kijana mwenzenu imekuwa ni kujichanganya?. Aisee bro kama hujala kapate lunch kwanza na juisi ya ukwaju
 
Miaka 50 baada ya uhuru kuna watu hawajui kusoma wala kuandika!!!! Swali la kikatiba.

Uko too general, unamaanisha kusoma na kuandika kiswahili tu au lugha zote.

Hata kiswahili wapo wengi wasiojua kusoma wala kuandika. Kwani dhana ya kisomo cha watu wazima ilifishwa na nani? Mbona mie nilikuwa nashiriki hata kutunga nyimbo za kuimba siku ya Kisomo tarehe 8/9;kila mwaka?
 
Leo wale walikuwepo kwenye Mdahalo au mjadala wa Katiba na wengine Kusikiliza Kupitia ITV hakika kuna vitu vipya na muhimu tulivyojifunza na kuweza kutufumbua macho. Kwa Swala Zima la katiba Mpya.

Je Nini tulichojifunza kutokana na Mdahalo huu wa leo?
 
Alichojichanganya ni kipi hapo?. Lini kusema mimi kijana mwenzenu imekuwa ni kujichanganya?. Aisee bro kama hujala kapate lunch kwanza na juisi ya ukwaju

That is a psychology of public speaking,its called establishing rapport. Ili usikiliwe si lazima kama alivyofanya yule Dada Nkya kuwa shhhhhhh (shutup) watu. Issa Shivji ana uzoefu and he knows how to establish rapport. That's why he repeated that word twice in few seconds, it was simply to attract attention.
 
Wanawake kwa kweli wametuangusha, kumbe walipewa mialiko kwa wingi halafu hawakutokea.....mbaya zaidi wale waliofika hata hawakuchangia, eti wamechangia watatu siui wanne wale.
KONGAMANO LIMEAHIRISHWA RASMI.

Kuna wadada wakali Dar School of Law..... Labda next time watamwaga cheche zao.
 
Naomba nikushukuruni sana Dr. Kitila Mkumbo na Prof. Kibogoyo kwa kazi kubwa na yenye mafanikio ya kutuletea kipindi live. Sisi tuliokuwa majumbani tumefaidika vya kutosha.

Najua hii yote mmejitolea kutokana na mapenzi mliyo nayo kwa Watz na kwamba mmeshaandika hitoria tuwatafute hata baada ya vifo vyenu.
 
That is a psychology of public speaking,its called establishing rapport. Ili usikiliwe si lazima kama alivyofanya yule Dada Nkya kuwa shhhhhhh (shutup) watu. Issa Shivji ana uzoefu and he knows how to establish rapport. That's why he repeated that word twice in few seconds, it was simply to attract attention.
kumbe zomba your a good man!
 
Si ukali wa vitabuni tu, ukali wa kwenye mijadala. Sina mamlaka ya kimaadili ya kuweza kutaja majina yao humu.

Sasa leo walikuwa wapi??? au mijadala hiyo huwa wanaifanyia Bar.....?, There is nothing worse than wasted talent.....? Sasa kama uwezo wanao alafu hawautumii... bora waje huku wasaidiane na mimi kulima majaruba........
 
Sasa leo walikuwa wapi??? au mijadala hiyo huwa wanaifanyia Bar.....?, There is nothing more sad than wasted talent.....? Sasa kama uwezo wanao alafu hawautumii... bora waje huku wasaidiane na mimi kulima majaruba........

Inakuwaje unaniuliza 'leo wako wapi', as if najua daily schedule zao. Usinigombanishe na wenza wao tafadhali.

Katika kundi la wasted talent na wewe umo, hukuwepo kwenye mjadala.
 
Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo.

Karibuni

Kitila

Shukrani mkuu,nimeshuhudia kila lililojiri mwanzo hadi mwisho,Mmeratibu vyema zoezi zima,mmechagua wachangiaji wakuu wasiojua kutafuna neno,Mmehimili mikiki mikiki mizima hasa kutokana na ukweli kwamba zoezi kubwa namna hii ni lazima lingesababisha uwepo wa watu wenye uwezo na viwango tofauti wa kufikisha mawazo yao..

Ni imani yangu hii imekua spark tu ya kulipua bomu kubwa ambalo limeratibiwa kwenye fikra za wanaotaka mabadiliko na kuitakia mema Tanzania...Mungu ibariki Tanzania! Udumu upendo,amani na mshikamano daima!
 
Kitila Mkumbo,

Kazi nzuri sana, mmeonesha mwamko wa hali ya juu katika hili swala la katiba. Mjadala kama huu urudiwe na wachangiaji wachujwe ili kuwe na uelekeo unaoeleweka. Pia mtoke na roadmap ili katiba ibadilishwe. Hivi yule waziri wa katiba nk nk alikuwepo?
 
Inakuwaje unaniuliza 'leo wako wapi', as if najua daily schedule zao. Usinigombanishe na wenza wao tafadhali.

Katika kundi la wasted talent na wewe umo, hukuwepo kwenye mjadala.

Wewe ndo umesema kuna wakina dada wakali wamekwenda shule...... ambao wanaweza mijadala sio mimi... kwahiyo wewe ndo unawajua.... Nimeshakwambia mimi kazi yangu ni kulima Majaruba..... Je unajua leo tu nimelima mangapi??? sasa wote tukiwa kwenye mjadala unazani nani atalima??? thats why kuna watu inabidi watujulishe... Hao kina dada wakali ambao leo hawakuonekana.... na TV zetu za Tanzania ambazo leo nyingine zilikuwa zinaonyesha ze komedi
 
naona unalima majaluba baada ya kupata ulabu teh teh teh, ulabu ukikutoka na kurudia ufahamu wako kwamba haujalima wala wewe si mkulima, urejee post 446.

You are a wasted talent, hukuwepo kwenye mjadala ukaishia kuhama toka kwa jirani mmoja hadi mwingine kufuata TV, bwa ha ha ha haaaaaaa.
 
Back
Top Bottom