Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 50 baada ya uhuru kuna watu hawajui kusoma wala kuandika!!!! Swali la kikatiba.
Alichojichanganya ni kipi hapo?. Lini kusema mimi kijana mwenzenu imekuwa ni kujichanganya?. Aisee bro kama hujala kapate lunch kwanza na juisi ya ukwaju
Wanawake kwa kweli wametuangusha, kumbe walipewa mialiko kwa wingi halafu hawakutokea.....mbaya zaidi wale waliofika hata hawakuchangia, eti wamechangia watatu siui wanne wale.
KONGAMANO LIMEAHIRISHWA RASMI.
tupo pamoja mkuuu, unaona thus why nampenda shivji!Mzee Issa Shivji, kafunguwa vilivyofungika. Lol.
Kuna wadada wakali Dar School of Law..... Labda next time watamwaga cheche zao.
Kuna wadada wakali Dar School of Law..... Labda next time watamwaga cheche zao.
kipindi live. Sisi tuliokuwa majumbani tumefaidika vya kutosha.
kumbe zomba your a good man!That is a psychology of public speaking,its called establishing rapport. Ili usikiliwe si lazima kama alivyofanya yule Dada Nkya kuwa shhhhhhh (shutup) watu. Issa Shivji ana uzoefu and he knows how to establish rapport. That's why he repeated that word twice in few seconds, it was simply to attract attention.
Ukali wa vitabuni haumsaidii mtu..... An Ounce of Action is Worth a Ton of Theory.....
Si ukali wa vitabuni tu, ukali wa kwenye mijadala. Sina mamlaka ya kimaadili ya kuweza kutaja majina yao humu.
Sasa leo walikuwa wapi??? au mijadala hiyo huwa wanaifanyia Bar.....?, There is nothing more sad than wasted talent.....? Sasa kama uwezo wanao alafu hawautumii... bora waje huku wasaidiane na mimi kulima majaruba........
Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo.
Karibuni
Kitila
Inakuwaje unaniuliza 'leo wako wapi', as if najua daily schedule zao. Usinigombanishe na wenza wao tafadhali.
Katika kundi la wasted talent na wewe umo, hukuwepo kwenye mjadala.
Wewe ndo umesema kuna wakina dada wakali wamekwenda shule...... ambao wanaweza mijadala sio mimi... kwahiyo wewe ndo unawajua.... Nimeshakwambia mimi kazi yangu ni kulima Majaruba..... Je unajua leo tu nimelima mangapi??? sasa wote tukiwa kwenye mjadala unazani nani atalima??? thats why kuna watu inabidi watujulishe... Hao kina dada wakali ambao leo hawakuonekana.... na TV zetu za Tanzania ambazo leo nyingine zilikuwa zinaonyesha ze komedi