Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi.
Endelea kubaki hapahapa JF kwa Taarifa za uhakika
==========
Somanga :
Mabomu ya Machozi yapigwa , unyama huu umeongozwa na Jeshi la Polisi
Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama , bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake , ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani , Mtwara na Lindi .

mkuu vipi ameshaingia KUSINI? me nataka apitie pale RUANGA kwa wale wazee wa kazi waliompulizia MOSHI MWEUSI mtu fulani mpaka akapindua akageuzia angani siku tatu hajulikani alipo. nataka akawatembelee wale wazee wajaribu tena lile zoezi ili sasa liwe ndo meichi yenyewe wafunge goli kuu ili tupumue vizuri.