Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Haitawasaidia kitu

Lazima tukuadabishe msaliti wa Nchi Lissu
 
Nilichogundua CCM ni waoga tena Sana wa hili Neno au sentensi inayosema"Kushindwa Uchaguzi".Na mtu muoga ni hatari Sana anaweza tumia njia yeyote ili mradi asipatwe na hilo Jambo.Sasa hivi wanafanya njia zote,za halali na haramu.Kuhakikisha balaa la "kushindwa Uchaguzi "haliwapati!
 
Kila la kheri sasa tupo pazuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…