lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Mkuu BritCCM Must Go
Fatima tena?! Au ndo ushoga wanaoukumbatia vegans, alafu wanajidai kuupinga?!!Mkuu Erythrocyte kule Zanzibar kuna wapiga kura mpaka Wakenya....Jamaa wamechakachua Daftari la wapiga kura mpaka basi....
CC Quinine
Acha kushabikia mambo ya ajabu. You're smarter than that.Sheikh Ponda Issa Ponda awaapisha Wazanzibari kuwa wasitawaliwe na Mtalii kutoka Kisarawe
HAKIAcha kushabikia mambo ya ajabu. You're smarter than that.
Naona dawa imepenya sasa ukichaaa umeanza kukutokaAcha kushabikia mambo ya ajabu. You're smarter than that.
Pesa inapotea ni yakooo?! Kwanini unapenda sana kulilia pesa hata walizochanga wanawake wa viti kwa hiyari yao?! Subiri kazi ya kufagia Lumumba uliyoomba, very #lijuha-likali!Kamanda acha utani,Lissu hawezi kupata 70%, tunapoteza munda na pesa.
Malori yanawaisha sana wana-ccm! Swala la wizi wa kura, litasababisha matatizo makubwa kwa nchi yetu, na hakuna Mtu mzima anapaswa kulishabikia!Mikutano ya Magufuli saa 12 watu wamejaa uwanjani!! Mikutano ya Tundu Lisu haijawahi kufata muda maana anabembelezea wapita njia!! Wapita njia wakijaa ndio na picha zinapigwa na ndipo mgombea anaingia. Chezea CCM weweeee!! Halafu mseme mmeibiwa kwa kuvizia wapita njia.
Queen Esther
Hata kama ushindi akipata ila jasho limemtoka.nadhani siasa zinanza kurudisha heshima yake.siyo simpo simpo tena.hakuna kura ya kirahisi.Hii ni Tanzania ya watanzania wenye mtazamo tofauti na ule uliozoeleka
Na huyo KOKA,ni kutetea biashara zake zaidi.vinginevyo akikosa tuu ubunge trust me TRA,wataenda kufanya ukaguzi wa mambo ya kodi pale AKO na kampuni zake zingineHata kama ushindi akipata ila jasho limemtoka.nadhani siasa zinanza kurudisha heshima yake.siyo simpo simpo tena.hakuna kura ya kirahisi.Hii ni Tanzania ya watanzania wenye mtazamo tofauti na ule uliozoeleka
Tutaiweka sawa hivi pundeNimesikia wanamzuia kutua! Hiyo taarifa ipoje?. Erythrocyte
Smarter gani, Wewe Mbona kila siku unashabikia ujinga tu humu, watu wanakuachia haki yako, alafu leo unajidai kumfokea jamaa!Acha kushabikia mambo ya ajabu. You're smarter than that.
Lissu ameji overdose sana na hii campaign. Ndio maana nadhani hataki wizi utanyike maana nguvu nyingi kapoteza na inaonekana km mpigania dini flani wale waliotayari kufa kwa haki.Hii ratiba ni ngumu, mikutabo 10 ndani ya siku 1.
Anyway Mungu amtie nguvu.
Kamanda kaza spana suala la korosho. Mikoa hiyo unachukua 95 ya kura zote!Akapigilie nyundo suala la korosho na suala la masheikh naamini kura zote za kusini zitamininika kwa bwana mkubwa lissu...
Inawezekana labda alikuwa JERA. Dunia Pana hiiiNimeshangazwa sana na ujio wa mtu huyu
Kijana ulikuwa wapi?Kaitampunuu ogambe bakootege