Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

Alishindwa Lowasa sembuse na wewe. Endeleo kula Maisha huko ng'ambo.
Ngoja tumalize kazi ya kudhibiti VITUO HEWA vya kupigia kura, utafunga tu hilo domo lako mwenyewe. CCM must go
 
Mkuu Brit
Wewe unajua Sana mambo ya ndani ya CCM,
Tuambieni je kuna happy gani huko ndani?
Wana matumaini au wamekata tamaa.
Je wakishirikiana wako Tayari kukabidhi kijiti kwa hiari?

Je wanaamini katika kushindwa?

Maswali yangu Ni hayo tu Mkuu.
Kazi ipo
 
Moderator sielewi maana ya hiyo LIVE mliyoweka kwenye heading ya uzi huu alafu hatuoni updates zozote, nini maana yake?
 
CCM imegeuka kuwa genge la wajomba na mashangazi wenye roho mbaya na wakabila
 
Uwanja wa Mpilipili-Lindi ulichafuka hasa, sikuwahi kuuona huu upendo kwa Lissu kutoka kwa wananchi!
 
Lindi

Subpost 1 - Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mh. @tunduantiphaslissu akiwa L ( 426 X 640 ).jpg


CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
aiseeh wamakonde SHIKAMOO duh aisee amekwenda na maji kimchezo mchezo....
 
Jamani leo nimejikwaa wakati naingia kwenye gari yangu. Haya wewe Tundu Lissu si ndiyo Mfariji, naomba nifajiri basi kwa kuumia kidole gumba.
 
Lissu ameji overdose sana na hii campaign. Ndio maana nadhani hataki wizi utanyike maana nguvu nyingi kapoteza na inaonekana km mpigania dini flani wale waliotayari kufa kwa haki.
Ndio maana haogopi.
Huyu jamaa kaamua aisee.
Umeandika nini hapo ?
 
Back
Top Bottom