Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

lissu anasema mfumo wa stakabadhi ghalani ni rubbish!!
Hu uchaguzi ufanyike hata leo,tumeshajua wa kumpa kura,huko kulikobaki ni kuharibu pesa tu,watuletee tu hivyo vichwa
 
Yuko sawa asilimia 1000 ,yaani niongozwe na mtu ambaye sijamchagua? Ndio democrasia ya aina gani hiyo.
Kwa ujinga wa mboga mboga diwani wetu kashafanya na sherehe ya ushindi wa mezani, ni aibu kubwa
 
Waliopita kimagumashi hatofanya nao kazi,wewe huoni kuwa si sahihi kufanya biashara na mtu mshirikina?
 
Wengine kuelewa kwenu sijui shuleni ilikuaje kisha sema anataka wananchi ndio waamue naniawaongoze wao wenyewe hataki watu wawamlie wananchi huondiounaita udkiteta
 
Ameshaishiwa hoja na kukosa pesa za kuendelea na kampeni anajikaza tu wananchi washachoka kumchangia
 
Takbirr
Allah
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Alladh Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Amiin yarabi Amiin
Tumechoka kutawaliwa na dikteta anaeongea nchi ki Familia
We can't breathe
 
Tulikuwa naye Hungumalwa muda si mrefu. Ukilinganisha kampeni za hawa wawili Tundu Lisu ni very humble kwa wananchi.

Upande wa pili naona ubabe na vitisho tu.
Ila nasikia wana hungumalwa mmeniangusha sana this time
 
Tulikuwa naye Hungumalwa muda si mrefu. Ukilinganisha kampeni za hawa wawili Tundu Lisu ni very humble kwa wananchi.

Upande wa pili naona ubabe na vitisho tu.
Alikuwepo mnadani kule au Godwn karibu na kituoni ?
 
Ameshaishiwa hoja na kukosa pesa za kuendelea na kampeni anajikaza tu wananchi washachoka kumchangia
Kama hutambui hatawakati wakumuondoa mkoloni mweupe wazee wetu walichangia na alitoka hatahuyu mkoloni mweusi mwenzetu tunamtoa kwamichango yetu
 
Wizi wa kura sasa baaaasiiii !!

Mwaka huu haibiwi mtu. Bahati mbaya tarring center hawawezi kuzijua zipo wapi na mbaya zaidi nyingine zinawezekana zikawa kwa makada nguli wa ccm wenyewe ambao wamechoka na utawala huu.
Kwahiyo its matter of time tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…