Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Siasa na mpira wapi na wapi.
Hahahahaha Mkuu mbona Crimea alidai CHADEMA kipo mtandaoni tu? Na hakifahamiki vijijini kabisa.Kyerwa
Swali langu la msingi, wewe umejuaje kama wanaiba kura? Kama ndo hivyo na upinzani nao ni wezi wa kura, maana wahenga walisema ukimjua mchawi basi jua unawanga nae.Mgonjwa wewe. Kupigiwa Kura au kuiba kura
Za kugombea mademuNi kampeni za mgombea urais au diwani?
Dj anazingua na minyimbo ya ajabu ajabu. Hebu tutendeeni haki hakuna wasanii wa kuimba nyimbo za kutumbuiza nzuri?MaCCM yakiona hii mananihii yanagonga kwenye pichu:
Vipi Dr bashiru au JPM nakisomo chao wanawndeleajeEti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
wasanii wako ccm mkuuDj anazingua na minyimbo ya ajabu ajabu. Hebu tutendeeni haki hakuna wasanii wa kuimba nyimbo za kutumbuiza nzuri?
Swali lako ni zuri lakini majibu wanayo hawa wafuatao .
View attachment 1575848
Kama una akili timamu utakuwa umeelewa
tofauti na hizo chaguzi nyingine na huu ni kwamba hakutaruhusiwa majizi yaliyozoea kuiba kura. Tofauti nyingine Lowasa alishinda wakamtangaza magufuli akaogopa kukinukisha this timeTundu atashinda na atatangazwa.Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
Hahahahah Crimea ana hali mbaya sana saivi, haamini anayoyaona hadi ameamua kuwa mpole tu!πππHahahahaha Mkuu mbona Crimea alidai CHADEMA kipo mtandaoni tu? Na hakifahamiki vijijini kabisa.
Sikweli,..Geita ni ngome ya Magufuli.
..hakuna anayetegemea Tundu Lissu au CDM watafanya vizuri ktk mkoa huo.
..lakini ni lazima kupiga kampeni mikoa na maeneo yote, huwezi kuwatenga wananchi wa Geita.
Kuna mgombea wa chama kimoja yupo hoi, pumzi ishakata anaomba muda wa kampeni uishe !! maji ya shingo.
Duuu ulitabiri ndugu kuna fedhuri mmoja alikuwa upande wa jiwe hakutoa hata pole,katangulia yeye tena kafa kichuro.Msalimie mbelwa petroView attachment 1575972