Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #181
Lissu anajisumbua tu nawaambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu anajisumbua tu nawaambia
Watu wataenda Kama walivyoenda kumshangaa Lowassa matokeo yake mkoa mzima wa Geita CDM haikupata Mbunge hata mmoja na iliambulia madiwani 2 tu.Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.
Hao watakuwa wachambuzi uchwara.Wachunguzi wanamtabiria Lissu ushindi wa angalau zaidi ya asilimia 70
Peleka pumba zako huko ? Kama kweli mbona kwenye uchaguzi wa Mwaka 2015 CDM hawakupata DIWANI hata mmoja.Chadema ilishinda vijiji vyote vya chato kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2014 , kikiwemo kijiji anachoishi Magufuli aliyekuwa mbunge na Waziri
Yaani CDM propaganda mko vizuri sana nawakato mgombea wenu Jimbo la Chato ameshindwa kufanya hata mkutano mmoja wa kuomba kura.Game changer leo yuko Chato. Mtajionea wenyewe upepo utakavyobadilika. Hajawahi kushindwa huyu jamaa
Siwezi kujibizana na kopo lisilo na ubongoPeleka pumba zako huko ? Kama kweli mbona kwenye uchaguzi wa Mwaka 2015 CDM hawakupata DIWANI hata mmoja.
Ninachoweza kusema CDM hawatapata hata Diwani mmoja mkoa wa Geita.unauhakika alizaliwa hapo?
Huyu wa kwenu pia pia kazidiwa kwa mbali mno na kina Mzee Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Huyu hana maarifa ya kiuongozi hata kidogoMkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
Njoo uchukue zawadi yakoNinachoweza kusema CDM hawatapata hata Diwani mmoja mkoa wa Geita.
Na hapo katoro inasemekana ni wapinzani wamejamaa cdm mfike na hapo kuna jamaa yangu atawakaribisha sana.Mh Rais mtarajiwa, mkoa wa Geita tunaomba utembelee mji wa katoro na buseresere hatuna huduma ya maji Safi nasalama tangu mwaka 1961, hatuna barabara za lami kwenye mji huo vumbi Lila mahali. Pia karibu utembelee vijiji vya Nyamikoma, Kamwanga na lwenge vipo geita vijijini hakuna nishati ya umeme,hakuna maji, hakuna hata barabara ya magari ya kuvitembelea.
Maeneo yote haya Kuna uchumi mkubwa wa madini ya dhahabu Ila Hali ya umaskini ni mkubwa Sana. Pia ukiwa geita tutembelee wilaya ya chato Kijiji Cha majengo ambalo ni Kijiji cha nyumbani kwa Rais magufuli hakuna maji Safi na salama wananchi wanachota maji ya matumizi ndani ya ziwa Victoria
Halafu hawasemi anayepewa asilimia kubwa ya kuwa rais na wanachadema ambao hata kwenye daftari la kura hawamo.Eti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
Naunga mkono hojaLeo nipo Chato na nasikia DAS wetu wa Moro Bi Ruth John yupo likizo basi lazima nikamtembelee nimpe hongera maana nimesoma paper yake yupo vizuri
View attachment 1575849
Ni mtunzaji mzuri wa misitu
Usiseme watanzania, sema Wana saccos ya Chadema wamechoka CCM. Wana CCM hawajaichoka CCM hawaitaki saccos hata kuisikia.Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.
Nani alishindwa? Kama Lowassa alishinda urais alikuwa rais kwa kipindi kipi??Kwani lowassa alishindwa Urais 2015 ? labda kama umezaliwa jana .
Kyerwa hii..... hakuna cha Diamond wala Gold hapa.
kweli mwache Lissu aitwe Lissu aisee!
Kyerwa hii..... hakuna cha Diamond wala Gold hapa.
kweli mwache Lissu aitwe Lissu aisee!
Hivi Kyela mmeshazindua kampeni ,?Nimeambiwa kwamba nitapewa mic siku hiyo baada ya Bananga , moto utawaka !
Matumizi mabaya ya ofisi za umma! Lumumba yatasema ni haki yao kuajiriwa!Kwa hiyo Ruth John magufuli ni DAS Morogoro, na mume wake ni Mr Hoffman Sanga Naye ni DAS mvomero?
Lissu anajisumbua tu nawaambia