Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

U
We subiri tukomboe wana wa nchi hii wapate uhuru, wapate haki, wapate maendeleo, vyombo vya habari viwe huru, hayo maneno itakosa pakuyasemea.
Anza kwanza kwa kuwakomboa makamanda uchwara wa ufipa toka kwenye makucha ya Mbowe kama unaweza
 
Nasubiri mkutano wa Lisu akiwa Chato.

Ndio Magu atajua kuwa WATANZANIA SIO WAJINGA.
Ruth John Magufuli ni DAS Morogoro, na mume wake Mr. Hoffman Sanga naye ni DAS Mvomero. CCM bwana mpwa wake Doto James ,Katibu Mkuu Wizara ya fedha.
 
Ruth John magufuli ni DAS Morogoro, na mume wake Mr Hoffman Sanga Naye ni DAS mvomero. CCM bwana.mpwa wake doto james,katibu mkuuu wizara ya fedha.
haya mambo yakishamba sana, JPM sio jini ni mtu na anao ndugu na jamaa, ulitaka wakakae chato wasubiri mboga kutoka Ikulu? hawa ni watu sawa na watu wengine wana maisha yao wana kazi zao wana biashara zao, wacha mambo yakishamba
 
anayesumbuka hupata
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
haya mambo yakishamba sana, JPM sio jini ni mtu na anao ndugu na jamaa, ulitaka wakakae chato wasubiri mboga kutoka Ikulu? hawa ni watu sawa na watu wengine wana maisha yao wana kazi zao wana biashara zao, wacha mambo yakishamba
Wengine mnawaambia wakajiajiri. October 28,mtakula mlikopeleka mboga.
 
haya mambo yakishamba sana, JPM sio jini ni mtu na anao ndugu na jamaa, ulitaka wakakae chato wasubiri mboga kutoka Ikulu? hawa ni watu sawa na watu wengine wana maisha yao wana kazi zao wana biashara zao, wacha mambo yakishamba
Mtapanua sana magoli kudadeki !
 
MVOMERO KUNA RAS.?Lowassa alisema elimu!elimu!Halafu huo ni ujinga, kutuletea taarifa kama hizo.Mbona LISSU marehemu dada yake alikuwa viti maalaum Chadema?Mbaya zaidi ,nyumba ndogo za MBOWE ni viti maalum.
Kwahiyo nawe ulikuwa nyumba kubwa ya Mbowe yaani mke mkubwa
 
Back
Top Bottom