Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Huenda Leo mgombea mpendwa tundu lisu akawa chato anakotokea mpinzani wake anaesuasua bwana Jpm jiwe
Swali wanachato wakijitokeza maelfu kwa maelfu kumlaki mgombea huyo anaeongoza kwenye kura za maoni ,Jpm atakuwa kwenye hali gani?
Tutarajie kwanzia hapo upepo utabadilika kabisa
Lissu atapata mahudhurio hafifu kama yale ya Mbagala au madogo zaidi
 
Chato haijawahi kuwa ngome ya CCM miaka nenda rudi, alaf utambue kuwa chato ni ngome ya Chadema angalia kata zinanyakuliwa na chama gani?
Kwa chato sitashangaa Lisu kupata mapokezi makubwa
Ndio sababu ya magufuli kulazimisha ubunge enzi zake akiwa mbunge ?
 
Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
Lowassa alishinda..hakutangazwa ila sasa Lissu mkimfanyia hivyo ana nongwa..ndio Maana Magu akiwa Singida alijichekesha nitampa kakazi kadogo..
 
Back
Top Bottom