Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

si mnasemaga hakuna watu chato ila punda na mifugo,hao watu maelfu watatoka wapi???
 
Jiandae kisaikolojia
yaani sijui mtakufa kimyakimya sijui mtafanyaje baada ya jpm kuapishwa naona mtakuwa hiviiiii
TUMBILI.jpeg
 
Huenda Leo mgombea mpendwa tundu lisu akawa chato anakotokea mpinzani wake anaesuasua bwana Jpm jiwe
Swali wanachato wakijitokeza maelfu kwa maelfu kumlaki mgombea huyo anaeongoza kwenye kura za maoni ,Jpm atakuwa kwenye hali gani?
Tutarajie kwanzia hapo upepo utabadilika kabisa
Duuh kumbe Lissu ameamua kwenda kwenye ngome ya jiwe? Ngoja tuone mamboa yatakavyokua
 
Huenda Leo mgombea mpendwa tundu lisu akawa chato anakotokea mpinzani wake anaesuasua bwana Jpm jiwe
Swali wanachato wakijitokeza maelfu kwa maelfu kumlaki mgombea huyo anaeongoza kwenye kura za maoni ,Jpm atakuwa kwenye hali gani?
Tutarajie kwanzia hapo upepo utabadilika kabisa
Nadhani leo wananchi wa chato watapigwa stop woote. Sipati picha the unknown watakuwa wamemwagwa leo huko
 
Umeanza kuvurugwa na wewe kama Mgombea wako, Kwenye heading unatuambia Kigoma na Geita huku kwenye maelezo unatuandikia Kagera na Geita. Huko Kigoma kumewavuruga, mikutano yote mnafanyia uchocholoni.

Sehemu peke mtakayopata watu ni Bukoba na Mara. Huko kwingine tulizeni mzuka.

Uchocholoni ndio kitu gani ?.Hizi shule za kata zimetuzalishia watu wa ajabu kweli kweli.Kuandika kwenye shinda kujenga hoja taabani.
 
Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee kwenye jimbo la Chato...
RAIS WA CHAMA CHA SOKA AU MANZESE
 
Huenda Leo mgombea mpendwa tundu lisu akawa chato anakotokea mpinzani wake anaesuasua bwana Jpm jiwe
Swali wanachato wakijitokeza maelfu kwa maelfu kumlaki mgombea huyo anaeongoza kwenye kura za maoni ,Jpm atakuwa kwenye hali gani?
Tutarajie kwanzia hapo upepo utabadilika kabisa
The real is becoming..!!!
 
Back
Top Bottom