mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Chato wanataka Uhuru na kuheshimiwa nasio uwanja wa ndege ya mu7 kwa mwaka mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMENGame changer leo yuko Chato. Mtajionea wenyewe upepo utakavyobadilika. Hajawahi kushindwa huyu jamaa
Sawa afisa habari wa Chadema a.k.a malalamiko political party.Mbona unatesekaa?
Mgombea wa Lumumba anaratiba ?
Kamwambieni Leo tunamtandika kwake hadi aibu
Nasikia shangazi zake wameomba kuhudhuria mkutano
Oyaa oyaaaa asubuhi na mapema [emoji3577][emoji3577]Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee kwenye jimbo la Chato.
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika.
View attachment 1575824
========
UPDATES:
Picha mbalimbali za Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu mapema asubuhi leo, Septemba 21 katika eneo la Nyakanazi, Kata ya Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera.
Akiwa hapo Mhe. Lissu amewanadi Mgombea Ubunge wa Chadema (mwenye kofia na rungu mkononi), Mbelwa Petro na Mgombea Udiwani Kata ya Lusahunga, Damasi Buyago.
Mhe. Tundu Lissu hapo, amesema;
Wananchi Nyakanazi Ahsante kwakutupokea Vizuri natumelala hapa Nawashukuru sana.
Kwenye Uchaguzi mkuu huu Tunahitaji kufanya Mabadiliko makubwa sana, na moja ni manyanyaso yenu wananchi kuuziwa Vitambulisho vya Wajasiriamali. Kwanini muuziwe vitambulisho, nchi hii Vitambulisho vinatolewa bure lakini serikali ya CCM inauza vitambulisho kwa wananchi wake, na hawatoi hata receipts za EFD. Nasema kuwa tunaliwa na hawa MaCCM. Sasa haya yote mwisho ni tarehe 28 Mwezi wakumi 2020.
Hapa Nyakanazi Wengine niwakulima wanahangaika wenyenyewe kipindi cha kulima na kupalilia Ila ukivuna tu.. Wanaweza mageti kila unapopita.
Sasa Uchaguzi Mkuu Huu twendeni tukachague wagombea wa Chadema Ili tuondoe Huu Udhalimu.
Chagueni Mbunge Wangu Wa Jimbo La Biharamulo "Mbelwa Petro" Nanisikia Mnamuita asiyempenda kaja, na diwani Bwana Damasi Buyago wachagueni Tufanye Mabadiliko. Nakwenye Kura Ya Urais Uamuzi ni Wenu Kati Ya Tundu Lissu au Jiwe... Sasa watu wa Nyakanazi naombeni kura Zenu mnipe dhamana Yakuongoza.
Ahsanteni watu wa Nyakanazi.
View attachment 1575890View attachment 1575882View attachment 1575885View attachment 1575883View attachment 1575888
View attachment 1575877View attachment 1575879View attachment 1575880View attachment 1575881
Huyo huyo hata avae pama zote zinarudi kuitwa kofia hayo majina mengine ya kibiashara mbwembwe tu ndio ujione ulivyokuwa poyoyo matagaHuyo alivaa kofia ya pama hapo kwenye picha ndo anataka Urais?
AMINA 🙏🙏Our prayers are with him
Hahaaa..... Hapa nimemkumbuja DAS aliyekua kule kwa Jokate😄😄Sorry ni DAS.
Nimefrahia hii comment yakooNi bora na hiyo CIA (Chato International Airport) ipate kazi, huo mkutano wa Lisu aufanyikie hapo!!
Chadema punguzeni stress.mbona huu mchezo hauitaji hasira.Kama ni mchezo wa draft CCM maka sasa ishapata kete mbili za king.Huyo huyo hata avae pama zote zinarudi kuitwa kofia hayo majina mengine ya kibiashara mbwembwe tu ndio ujione ulivyokuwa poyoyo mataga
Ndio mjione mlivyokuwa wapumbavu kura anapiga mwananchi halafu anatokea punguani pembeni huko hana hata uhakika wa kuiona kesho anakuambia anajisumbua ila yote kwa yote tuombeane uzimaLissu anajisumbua tu nawaambia
Wewe kama huamini kuwa anaenda kuwa Rais wa inchi pole sana wakubwa zako wa chama wanaelewa hivyo ndio maana wanahaha sanaEti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
Safi sanaWakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee kwenye jimbo la Chato.
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za uhakika.
View attachment 1575824
========
UPDATES:
Picha mbalimbali za Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu mapema asubuhi leo, Septemba 21 katika eneo la Nyakanazi, Kata ya Lusahunga, Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera.
Akiwa hapo Mhe. Lissu amewanadi Mgombea Ubunge wa Chadema (mwenye kofia na rungu mkononi), Mbelwa Petro na Mgombea Udiwani Kata ya Lusahunga, Damasi Buyago.
Mhe. Tundu Lissu hapo, amesema;
Wananchi Nyakanazi Ahsante kwakutupokea Vizuri natumelala hapa Nawashukuru sana.
Kwenye Uchaguzi mkuu huu Tunahitaji kufanya Mabadiliko makubwa sana, na moja ni manyanyaso yenu wananchi kuuziwa Vitambulisho vya Wajasiriamali. Kwanini muuziwe vitambulisho, nchi hii Vitambulisho vinatolewa bure lakini serikali ya CCM inauza vitambulisho kwa wananchi wake, na hawatoi hata receipts za EFD. Nasema kuwa tunaliwa na hawa MaCCM. Sasa haya yote mwisho ni tarehe 28 Mwezi wakumi 2020.
Hapa Nyakanazi Wengine niwakulima wanahangaika wenyenyewe kipindi cha kulima na kupalilia Ila ukivuna tu.. Wanaweza mageti kila unapopita.
Sasa Uchaguzi Mkuu Huu twendeni tukachague wagombea wa Chadema Ili tuondoe Huu Udhalimu.
Chagueni Mbunge Wangu Wa Jimbo La Biharamulo "Mbelwa Petro" Nanisikia Mnamuita asiyempenda kaja, na diwani Bwana Damasi Buyago wachagueni Tufanye Mabadiliko. Nakwenye Kura Ya Urais Uamuzi ni Wenu Kati Ya Tundu Lissu au Jiwe... Sasa watu wa Nyakanazi naombeni kura Zenu mnipe dhamana Yakuongoza.
Ahsanteni watu wa Nyakanazi.
View attachment 1575890View attachment 1575882View attachment 1575885View attachment 1575883View attachment 1575888
View attachment 1575877View attachment 1575879View attachment 1575880View attachment 1575881
Mapenzi yako na ccm yasikufanye kipofu. Huoni kuwa Lissu tayari ana majority?
Msalimie mbelwa petroNimeambiwa kwamba nitapewa mic siku hiyo baada ya Bananga , moto utawaka !
Hawa lazima wararuaneAchana mjinga huyo wakubwa zake tu wanahaha hukuView attachment 1575962