JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Umeanza kuvurugwa na wewe kama Mgombea wako, Kwenye heading unatuambia Kigoma na Geita huku kwenye maelezo unatuandikia Kagera na Geita. Huko Kigoma kumewavuruga, mikutano yote mnafanyia uchocholoni.Wakuu natanguliza salamu , na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada , kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita , katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee kwenye jimbo la Chato....
Sehemu peke mtakayopata watu ni Bukoba na Mara. Huko kwingine tulizeni mzuka.