Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Nilichogundua hoja za vyama vingi vya upinzania vimekaa kutugawa Watanzania, nadhani, CCM itaendelea kubaki imara muda wote na watanzania wataipigia kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajasombwa na magari ya mizigo haoEti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
kama ulikuwa huijui Tanzania vizuri kwa Huba na Mahaba yako utaifahamu vizuri mwaka huu, na utashangaa.
Wenye Tanzania? Ndio wewe nini? Labda ndio wewe peke yako.Wewe huwezi kunifundisha kitu kuhusu Tanzania labda ccm maana sijawahi kuwa mwanachama wake maishani mwangu, na nilikuwepo kabla ya ASP na TANU hazijaungana 5.2.1977 wakati huo sijui ulikuwa na Umri gani mkuu.
Mwaka huu Tanzania inaenda kuwaponyoka mikononi ndiyo utajua kuwa wenyewe Tanzania wamefanya yao....kama walivyofanya wajumbe
Mbona unatesekaa?Ukute mtoa post yupo kwenye idara ya habari ya Chadema,hata ratiba za mgombea wao hawazijui.
Umesikika mkuuTL tembelea wilaya ya bukombe,mbongwe, nyangwale,chato,geita vijijini na Jimbo la busanda ukiwa mkoa wa Geita. Hali ya barabara,umeme,maji Safi na salama hakuna.pia tembelea nyarugusu,rwamgasa, na kakola