Wewe, wewe
"Erythrocyte, unatuchosha na upuuzivwako. Kila bandiko lako, kuhusu Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka huu ni matukio ya nyomi kana kwamba ndizo Sera za CHADEMA. Wakati mwingine unaweka bandiko za kuwazungumzia vibaya wagombea wasio wa CHADEMA. Akili za upotolo tu.
SHAME ON YOU. Na hao wananchi wa Nyakanazi watawaadhibu vibaya kwenye sanduku la kura ili tuwaone barabarani mkipinga matokeo.
Yawezekana Watanzania wameichoka CCM, lakini ukweli ni kwamba, ninyi wafuasi wa CHADEMA, na Lissu, mgombea wenu wa Urais, mnatuchosha humu JF na mnawachosha wapiga kura kwa hadithi za Abunwasi (kama ulisoma kitabu hicho).
Kila siku hoja zenu ni
VIOJA. Yanayojiri kwenye kampeni za Lissu na lugha yake ya kumdharilisha Magufuli, Rais aliyeko madarakani. Ukweli anavyoendelea kufanya hivyo atapata nyomi ya vijana ambao kwa kawaida mambo ya udaku huwavutia. Kinyume chake anajijengea chuki kwa wapiga kura.