Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

Lissu anajisumbua tu nawaambia
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.
Watu wataenda Kama walivyoenda kumshangaa Lowassa matokeo yake mkoa mzima wa Geita CDM haikupata Mbunge hata mmoja na iliambulia madiwani 2 tu.
 
Chadema ilishinda vijiji vyote vya chato kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2014 , kikiwemo kijiji anachoishi Magufuli aliyekuwa mbunge na Waziri
Peleka pumba zako huko ? Kama kweli mbona kwenye uchaguzi wa Mwaka 2015 CDM hawakupata DIWANI hata mmoja.
 
Game changer leo yuko Chato. Mtajionea wenyewe upepo utakavyobadilika. Hajawahi kushindwa huyu jamaa
Yaani CDM propaganda mko vizuri sana nawakato mgombea wenu Jimbo la Chato ameshindwa kufanya hata mkutano mmoja wa kuomba kura.
 
Mkuu sanduku la kura ndio huamua yote, wanaomlalamikia JPM wapo lakini wanafahamika kwa makundi.
Lowasa aliungwa mkono kuliko Mrema, kuliko Tundu Lissu leo.
Huyu wa kwenu pia pia kazidiwa kwa mbali mno na kina Mzee Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Huyu hana maarifa ya kiuongozi hata kidogo
 
Mh Rais mtarajiwa, mkoa wa Geita tunaomba utembelee mji wa katoro na buseresere hatuna huduma ya maji Safi nasalama tangu mwaka 1961, hatuna barabara za lami kwenye mji huo vumbi Lila mahali. Pia karibu utembelee vijiji vya Nyamikoma, Kamwanga na lwenge vipo geita vijijini hakuna nishati ya umeme,hakuna maji, hakuna hata barabara ya magari ya kuvitembelea.

Maeneo yote haya Kuna uchumi mkubwa wa madini ya dhahabu Ila Hali ya umaskini ni mkubwa Sana. Pia ukiwa geita tutembelee wilaya ya chato Kijiji Cha majengo ambalo ni Kijiji cha nyumbani kwa Rais magufuli hakuna maji Safi na salama wananchi wanachota maji ya matumizi ndani ya ziwa Victoria
Na hapo katoro inasemekana ni wapinzani wamejamaa cdm mfike na hapo kuna jamaa yangu atawakaribisha sana.
 
Eti anapewa Asilimia kubwa kuwa Rais! Mkuu pamoja na kisomo chako na uelewa wako unaweza kuzungumza upotolo kama huu?
Hata kama una huba na mahaba uwe serious kidogo basi.
Halafu hawasemi anayepewa asilimia kubwa ya kuwa rais na wanachadema ambao hata kwenye daftari la kura hawamo.
 
Ukweli watanzania wamechoka CCM. Ili ukubwliane na maneno yangu subiri TL akiwa mkoa wa Geita alilizaliwa JPM utaona atakavyoungwa mkono.
Usiseme watanzania, sema Wana saccos ya Chadema wamechoka CCM. Wana CCM hawajaichoka CCM hawaitaki saccos hata kuisikia.
 
Kyerwa hii..... hakuna cha Diamond wala Gold hapa.

kweli mwache Lissu aitwe Lissu aisee!


Duuh Kaka tafadhali punguza unaua huku betry tayari limelegea, ngoja niongee kinyumbani kabisa ( waghola hoyoyi wang'u mohomba wagehukuma wokuya)😂😂😂😂
 
Kyerwa hii..... hakuna cha Diamond wala Gold hapa.

kweli mwache Lissu aitwe Lissu aisee!


Haki ya nani huyu raia anaenda kumwuua mtu kwa pressure siyo mahaba ya wananchi haya! Mungu mbariki Lissu, Mungu ibariki CHADEMA! Magu asifanye masikhara na uchaguzi huu ataishia the Hague
 
Ingekuwa huv
Lissu anajisumbua tu nawaambia

Ingekuwa hivyo unavyowaza wewe Tanzania kusingekuwa na ligi ya soka kila mwaka wangetangaza tu simba au yanga mmoja wapo bingwa? Kwann simba inacheza na biashara wakati matokeo yanajulikana kwa 79% before?
 
Back
Top Bottom