Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Kigoma na Kagera

This is the remaining concern! A great one! Lisu keshashinda. Je watamtangaza? Nini kifanyike LEO (na si kesho) ili atangazwe? Mwanahabari Huru
Ni muhimu kudili na mawakala, wawe recruited effectively. Wawe equipped na tech, wapewe body camera pamoja na vinasa sauti.

Kwenye kampeni wananchi wapewe somo la uraia, wajue umuhimu, thamani pamoja na matokeo ya kura zao.
 
Yale mambo ya kusema eti CCM inabebwa na taasisi za serikali pamoja na majeshi yake inabidi yakome mwaka huu. Hivyo vyombo vinakuwa na nguvu vinapokabiliana na mtu mmoja mmoja aliyehitilafiana na haki. Lakini kama ni umma unaodai haki, hapatatosha! Na mwaka huu hatumwachii Mungu hata tone la uonevu.
Huo umma unaundwa na mtu mmoja mmoja na watu hawaitaki chadema ndio tatizo
 
Huo umma unaundwa na mtu mmoja mmoja na watu hawaitaki chadema ndio tatizo
Mtu mmoja mmoja wakiunganika Mungu anaongezeka na kukaa kati yao ikiwa watu hao wamejumuika kwa ajili ya haki.

Usemayo yana ukweli kiasi chake lakini watu wasioitaka CHADEMA sii wengi kama Wana CCM wasioitaka CCM.
 
Nipo kigoma mjini lkn sijui Tundu kama yupo kigoma aise

hivi anautubia lini ?
Teh teh teh teh, hata Mimi jana nilikuwepo KG ni kama tu hakuwepo, hapakuwa ma msisimuko wowote kuimweli.
Sasa najiuliza anashinda kwa kura zipi labda!
 
I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.

Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
Magufuli ata yeye anajua kuwa hatoboi
 
Na sio mm na wewe tu wapo wengi ambao pia hawajui kama Lisu alikuwepi kigoma na mm mpaka sasa hivi sijui alifanyia mkutano wap alafu naishi mwasenga udagalani
Teh teh teh teh, hata Mimi jana nilikuwepo KG ni kama tu hakuwepo, hapakuwa ma msisimuko wowote kuimweli.
Sasa najiuliza anashinda kwa kura zipi labda!
 
Mtu mmoja mmoja wakiunganika Mungu anaongezeka na kukaa kati yao ikiwa watu hao wamejumuika kwa ajili ya haki.

Usemayo yana ukweli kiasi chake lakini watu wasioitaka CHADEMA sii wengi kama Wana CCM wasioitaka CCM.
Kama watu wasioitaka ccm ni wengi kwanini huwa inashinda miaka yote ?
 
Back
Top Bottom