Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Wasiojua wanacho kitaka no anaye panda mawe huku akitegemea avune mahindi.
Ni yeye 2020Lisu alishindwa kabla hajaanza
Let your dream comes true.I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.
Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
Usione watu wanaweka bendera za CCM kwenye ofisi ama vyombo vya usafiri ukadhani ndio kukubalika kwa chama, ile ni namnaya kuflo na biti.ccm ilipoteza ushawishi kipndi cha jk lkn hii awamu ya JPM imerudisha nguvu ya CCM sababu vitu ambavyo upinzani ulitumia kama fimbo vimetatuliwa tayari
now day wanalia na uhuru tu swali wanataka uhuru gan ?
Wewe ndiye utakayekuwa na hali ngumu sio CCM....Ushindi kwa CCM ni MUSTHadi kampeni zinaisha CCM watakuwa na Hali mbaya Sana...
Mhamiaji haramu tumekusikia na hiyo HASUBUI uliyoandika hapo watanzania tuna ASUBUHI hatuna Hilo neno la wahamiaji haramu la HASUBUINimesema hv mwaka nitakuwa mstari wa mbele baranarani Tena hasubui kweupe Kama wakituibia kura wajinga hawa.
Zinatanga ndo nn?Swali fikirishi je wewe unajua anaye zinatanga kura za Urais na sababu zake
Tupe uzoefu wa ndoto zako,je Ni kweli ukiota Jambo huja kutokea Kama ulivyoota?I swear before God and Man! Kuna usiku niliota kitu cha namna hii.
Usiku wa majuzi wiki iliyopita niliota Lissu kambwaga Magufuli kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Kazi iliyobaki kwa Lissu ni kulinda ushindi wake na ndilo jukumu la watanzania.
zitangazaZinatanga ndo nn?
Itakuwa za mikojo akiota anakojoa akilala anamwaga dimbwi ia mkojo kweliTupe uzoefu wa ndoto zako,je Ni kweli ukiota Jambo huja kutokea Kama ulivyoota?
Ilitegemewa upinzani kuwa wanyonge sana uchaguzi huu tofauti na 2015 sababu kama ulivyosema raisi kafanya Yale yaliyokuwa yanapigiwa kelele. Nn kimetokea ikawa tofauti? Uchaguzi umekuwa si wa upande mmoja tena kama ilivyotegemewa.Hebu kuwa muwazi wapinzani mnataka nini
Kwa zaidi ya 90%....naweza kuota ndoto ikatimia siku inayofuata, au baada ya majuma kadhaa, au baada ya miaka mitano.Tupe uzoefu wa ndoto zako,je Ni kweli ukiota Jambo huja kutokea Kama ulivyoota?
Kwa mtu mwenye maono utagundua huu mwaka wa 2020 una utofauti wake, kidunia, kitaifa hata mtu binafsi ukijichunguza utagundua huu mwaka unautofauti wake.zitangaza
Kutokana na kutokuwa na uchumi unaomgusa mtu mmojammoja 'welfare economy'. Umenikumbusha watu wasiojulikana na mengine mengi ya hovyo ya awamu hii ya 5Ilitegemewa upinzani kuwa wanyonge sana uchaguzi huu tofauti na 2015 sababu kama ulivyosema raisi kafanya Yale yaliyokuwa yanapigiwa kelele. Nn kimetokea ikawa tofauti? Uchaguzi umekuwa si wa upande mmoja tena kama ilivyotegemewa.