Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

We wish you all the best Tundu.
 

Wana Sumbawanga washaamua wewe je unasubiri nini mtanzania - hii ndiyo nafasi pekee uliyonayo kulikomboa Taifa lako. UHURU - HAKI na Maendeleo ya watu viko mikononi kwako... saa ya ukombozi ni sasa.
Picha za nyomi mnazochakachua sasa Ni mbili tu ya Tunduma na Sumbawanga mlichakachua za Sumbawanga Wakati Lisu hakuwa Sumbawanga mkasema za Mwanza tukawananga na ushahidi mkazitoa chap chap sasa mumeona muweke za Lowasa za 2015 akiwa Sumbawanga mzifanye za Lisu akiwa Sumbawanga Hongereni kitengo cha uchakachuaji picha Cha Chadema

Mko vizuri kwenye uchakachuaji picha still picture na video
 
Lissu goes for quality and not quantity.
 
Mpaka sasa hajafika hapa uwanjani watu ni wengiwengi wengi sana sijui kama atafika kweli lisu apa

Atafika tu hata Tunduma alichelewa ila alifika na akaongea hadi saa moja kasoro jioni bila woga wowote.
 
Huyu ndo Raisi wa Tanzania 2020 - 2025. Hana wasanii, Hana fiesta , haongi 3000 au 5000 kujaza watu uwanjani ila kwa mapenzi makubwa, mamia na maelfu ya watanzania wanaenda kumsikiliza akiwapa sera bora na elimu ya uhakika!

Historia kuu lazima iandikwe mwaka huu, Tundu Antiphas Lissu anaenda kukianguaha Chama kikongwe Africa mwaka huu na kutawazwa na Mungu kuwa Raisi wa Taifa lake Tanzania 2020-2025
 
Nakubaliana na wewe comrade kabisa amani yetu ni muhimu sana. Hizi kauli za "mwaka huu patachimbika wala hatutokubali kushindwa " zikemewe vikali.
Kama mazingira hayako sawa hizo kauli zitatoka tu. Amini nakwambia.

Lakini kama uwanja wa ushindani ukiwekwa "level" nakwambia hutasikia hizi kauli za patachimbika wala nini
 
Sisi Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tutamchagua tena Jemedari MAGUFULI na wagombea wengine kutoka CCM. View attachment 1573146

Watanzania watamchagua John Pombe Magufuli kwani hata wapinzani wamekiri yeye ni rais bora
Your browser is not able to display this video.
 
Kama mazingira hayako sawa hizo kauli zitatoka tu. Amini nakwambia.

Lakini kama uwanja wa ushindani ukiwekwa "level" nakwambia hutasikia hizi kauli za patachimbika wala nini
Mimi naamini mpaka tumeamua kuingia kwenye uchaguzi pande zote zimejiridhisha kuwa uwanja upo level. Kazi iliyobaki ni kwenda kushindana kwenye box la kura.
 
Hatimaye ccm imefika mwisho , kutegemea polisi kumewaponza , walionywa wakapuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…