Keep it up Guys,jamaa kashalegea.Nyundo za vichwa tu.Mkuu Erythrocyte asante kwa kubakia kuwa chanzo bora cha taarifa kwa mikutano ya Mgombea wa CDm T.A.L
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep it up Guys,jamaa kashalegea.Nyundo za vichwa tu.Mkuu Erythrocyte asante kwa kubakia kuwa chanzo bora cha taarifa kwa mikutano ya Mgombea wa CDm T.A.L
Hii ndiyo kazi ya kiume,lazima mbuyu uanguke hata kama jua likitua tunawasha moto hapo hapo hadi kieleweke.Tupo pamoja!Zege halilali.Kiukweli uhalisia uko hiviView attachment 1573181
We wish you all the best Tundu.Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .
Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF
========
UPDATES
Jimbo la Kwela
View attachment 1573119View attachment 1573376View attachment 1573377
UPDATES 2
Nkasi Kaskazini akimnadi kamanda Alfred Sotoka
View attachment 1573381
Kila eneo linaonesha kuchokwa kwa vitendo vya CCM.Thanks, picha za nyomi ya Rukwa please! Nasikia Sumbawanga walimpokea kwa saprise ya ajabu! Asanteni wanaRukwa!
Wana Sumbawanga washaamua wewe je unasubiri nini mtanzania - hii ndiyo nafasi pekee uliyonayo kulikomboa Taifa lako. UHURU - HAKI na Maendeleo ya watu viko mikononi kwako... saa ya ukombozi ni sasa.
Lissu goes for quality and not quantity.Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.
Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.
Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
Mpaka sasa hajafika hapa uwanjani watu ni wengiwengi wengi sana sijui kama atafika kweli lisu apa
Huyu ndo Raisi wa Tanzania 2020 - 2025. Hana wasanii, Hana fiesta , haongi 3000 au 5000 kujaza watu uwanjani ila kwa mapenzi makubwa, mamia na maelfu ya watanzania wanaenda kumsikiliza akiwapa sera bora na elimu ya uhakika!Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .
Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF
========
UPDATES
Jimbo la Kwela
View attachment 1573119View attachment 1573376View attachment 1573377
UPDATES 2
Nkasi Kaskazini akimnadi kamanda Alfred Sotoka
View attachment 1573381
Lissu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025Lissu anaelewa kabisa sasa Urais basi.
Kama mazingira hayako sawa hizo kauli zitatoka tu. Amini nakwambia.Nakubaliana na wewe comrade kabisa amani yetu ni muhimu sana. Hizi kauli za "mwaka huu patachimbika wala hatutokubali kushindwa " zikemewe vikali.
eti eeh . . .ngoja tusubiri sera makiniNipo shule ya kashato watu ni wengi sana hapa katavi mpanda mjini. Watu wameanza kumsubiri kuanzia saa5.
Sisi Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tutamchagua tena Jemedari MAGUFULI na wagombea wengine kutoka CCM. View attachment 1573146
Mimi naamini mpaka tumeamua kuingia kwenye uchaguzi pande zote zimejiridhisha kuwa uwanja upo level. Kazi iliyobaki ni kwenda kushindana kwenye box la kura.Kama mazingira hayako sawa hizo kauli zitatoka tu. Amini nakwambia.
Lakini kama uwanja wa ushindani ukiwekwa "level" nakwambia hutasikia hizi kauli za patachimbika wala nini
Hahaha hapa wapinzani lazima wapige kimyaWatanzania watamchagua John Pombe Magufuli kwani hata wapinzani wamekiri yeye ni rais bora
View attachment 1573594
Sawa tu, lakini hata siafu umwangusha Tembu kirahisi tuKiukweli uhalisia uko hiviView attachment 1573181
Hatimaye ccm imefika mwisho , kutegemea polisi kumewaponza , walionywa wakapuuzaHuyu ndo Raisi wa Tanzania 2020 - 2025. Hana wasanii, Hana fiesta , haongi 3000 au 5000 kujaza watu uwanjani ila kwa mapenzi makubwa, mamia na maelfu ya watanzania wanaenda kumsikiliza akiwapa sera bora na elimu ya uhakika!
Historia kuu lazima iandikwe mwaka huu, Tundu Antiphas Lissu anaenda kukianguaha Chama kikongwe Africa mwaka huu na kutawazwa na Mungu kuwa Raisi wa Taifa lake Tanzania 2020-2025
Kwanza Magufuli hana uwezo wowote wa kushawishi watu kwenye loloteHizo ni hadithi tu