Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

Mpaka raha
 
Watu waliohudhuria leo katika mkutano wa Lissu walikuwa wengi sana .Inawezekana wengine si CHADEMA lakini ilikuwa nyomi sana.Nimefuatilia kampeni za Lissu kadri siku zinavyoenda ndivyo hamasa ya watu inaongezeka katika kumsikiliza.
 
Binafsi nasikitika nina kadi ile ya mwaka 2015, sikuenda kufanya maboresho kutokana na upumbavu walioufanya kwenye uchafuzi wa serikali za mitaa, nilikasirika vibaya nikachukia ata kujiandikisha bt deni langu nitalilipa kwa kuhamasisha jamaa zangu.
Pole sana Vladimir Lenin waliokasirika kama wewe ni wengi sana na ndio wanaojaa kwenye mikutano
 
18 September 2020
Mpanda, Tanzania

Breaking news / Habari mpya za hivi punde

Tundu Lissu, Wana-Mpanda wamemkubali, na Polisi Pia!


c.c Erythrocyte
 
Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini..

Kiukweli kabisa bila kumung'unya maneno, Tundu Antipas Lissu ndiye Rais wa A6 anayekuja akiwa CHAGUO LA MUNGU na Jiwe Kuu la pembeni lilokataliwa na Wajenzi(CCM)
Time gonna tell!
 

Nimeiangalia hiyo picha nikatafakari sana.... hasa huyo kijana aliye na tshet nyekundu... yani inaonyesha hajashika pesa muda mrefu, hilo tabasamu la kilafi/uchu kwamba dah leo nimepata... anatamani hata apore yani kama jamaa anachelewesha mgao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…