Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Mpaka rahaWakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .
Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF
========
UPDATES
Jimbo la Kwela na Nkasi Kaskazini
Picha za Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, katika Uwanja wa Kashato, Mpanda Mjini, Mkoa wa Katavi, ukiwa mkutano wa 3 kwa siku ya leo, Ijumaa, Septemba 18, 2020, baada ya
Chala (Nkasi Kusini) na Kilando (Nkasi Kaskazini), mkoani Rukwa.
View attachment 1573632
View attachment 1573709View attachment 1573710View attachment 1573711View attachment 1573712View attachment 1573713View attachment 1573714View attachment 1573715View attachment 1573716View attachment 1573717View attachment 1573718View attachment 1573719View attachment 1573720View attachment 1573721View attachment 1573722View attachment 1573723View attachment 1573724View attachment 1573725View attachment 1573726View attachment 1573727View attachment 1573728View attachment 1573729View attachment 1573730View attachment 1573731