Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

Mag
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.

Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.

Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
Magufuli mwisho asilimia16 jamaa hatakiwi hata na kuku wa nchi hii pole zake yaani amedata hadi wafuasi wamebaki walimu na wanaafunzi wa shule ya msingi na sekondari nilijuwa lazima itpkeehivyo jamaa aliingia na asilimia 39 yaani kakataliwa mchana peupe
 
Jidanganyeni.
 
Na walikuwa na wananchi au vichwa vya wanafunzi vilivyoongezwa bora hata wangekuwa na kadi za kupigia kura
Taarifa za kuaminika ni kuwa Shule zote kasulu na kIbondo na viunga vyake zilifungwa wanafunzi wakaagizwa wakavue sare za shule wahushurie mkutano
 
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.

Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.

Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.

Haaaaa haaaaaa, kwani wingi wa mikutano ndio wingi wa kura? Mikutano yenye wingi wa wafuata fiesta unapimaje kura? Kama unafanya mikutano mingi ili kuhalalisha matokeo ya kupika, basi mmeumia.
 
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.

Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.

Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.

Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.

Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.

mkuu hivi unafahamu maana ya mikutano kweli??? mikutano 10 kwa siku?? ar you serious?? Ebu tuonyeshe ratiba ya nec ikionyesha mikutano 10 kwa siku.
 
Anampamba mgombea wao huyo hana lolote
 
HATUMTAKIII HATA BURE. TOA HAPA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comrade vumilia bado siku chache sana maumivu yatakua ni makali sana kwa chadema. Magufuli ni chaguo la wengi.
 
Hivi kwanini nyuzi za Magufuli zimedoda hapa jf na kwingineko ?
Tupo busy na kampeni watanzania wana kiu kubwa ya kumsikiliza Rais wao mpendwa akiwaeleza mipango mathubuti ya maendeleo.

Comrade ukiingia jukwaa la siasa kati ya nyuzi kumi saba zinamuhusu Magufuli.

Lissu kila baada ya dakika mbili lazima amtaje Magufuli.

Sasa sijui uko udoda unakokusema unamaanisha nini comrade.
 
Kwisha habari yenu wanafiki nyinyi
 
Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .

Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF

========
UPDATES
Jimbo la Kwela
View attachment 1573119View attachment 1573376View attachment 1573377

UPDATES 2
Nkasi Kaskazini akimnadi kamanda Alfred Sotoka

View attachment 1573381
Mzee wa katiba si msaafu anasemaje huko? Maana ana mapovu balaa!
 
Kwisha habari yenu wanafiki nyinyi
Comrade Kejeli haziwezi kuturudisha nyuma, chama kipo imara na imani kwa wananchi ni kubwa sana kwetu. Na tutashinda kwa kishindo.
20200910_140518.jpg
 
Back
Top Bottom