Ni dalili ya frastrations
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dalili ya frastrations
Magufuli mwisho asilimia16 jamaa hatakiwi hata na kuku wa nchi hii pole zake yaani amedata hadi wafuasi wamebaki walimu na wanaafunzi wa shule ya msingi na sekondari nilijuwa lazima itpkeehivyo jamaa aliingia na asilimia 39 yaani kakataliwa mchana peupeMagufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.
Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.
Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
Na walikuwa na wananchi au vichwa vya wanafunzi vilivyoongezwa bora hata wangekuwa na kadi za kupigia kuraKupita igoma ndo kufanya mkutano?acha kupotosha,salam na mkutano n vitu viwil tofaut
Jidanganyeni.Mag
Magufuli mwisho asilimia16 jamaa hatakiwi hata na kuku wa nchi hii pole zake yaani amedata hadi wafuasi wamebaki walimu na wanaafunzi wa shule ya msingi na sekondari nilijuwa lazima itpkeehivyo jamaa aliingia na asilimia 39 yaani kakataliwa mchana peupe
Taarifa za kuaminika ni kuwa Shule zote kasulu na kIbondo na viunga vyake zilifungwa wanafunzi wakaagizwa wakavue sare za shule wahushurie mkutanoNa walikuwa na wananchi au vichwa vya wanafunzi vilivyoongezwa bora hata wangekuwa na kadi za kupigia kura
Na kweli niliwaona tu watoto wadogo mpk nikawa najiuliza labda atarud kuwahudhuria wananch wa igoma?Na walikuwa na wananchi au vichwa vya wanafunzi vilivyoongezwa bora hata wangekuwa na kadi za kupigia kura
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.
Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.
Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
HATUMTAKIII HATA BURE. TOA HAPA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tutamchagua tena Jemedari MAGUFULI na wagombea wengine kutoka CCM. View attachment 1573146
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.
Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.
Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
Magufuli anapiga mikutano mpaka kumi na tano kwa siku. Lissu minne tena hapo amejitahidi sana. Sioni sababu ya kulalamika Magufuli akipata ushindi wa kishindo.
Kuna majimbo Magufuli anapiga mikutano mpaka minne. Lissu yeye anafanya mkutano mmoja tu.
Jimbo la nyamagana, Magufuli alifanya mkutano Igoma, national, buzuruga, mkuyuni na Buhongwa. Tar 28 Magufuli akipata kura zaidi ya 90% kuna mtu wa kushangaa wazee?.
Kwa ufanyaji mikutano wa lissu, je akipata kura chini ya 20% kuna watu watalalamika kua ameibiwa?.
Mpaka hapo munaweza kuona nguvu ya pumzi aliyonayo Magufuli. Kwakifupi Magufuli amemuacha mbali sana lissu.
Kuwanga auTwende na Magu
Anampamba mgombea wao huyo hana lolotemkuu hivi unafahamu maana ya mikutano kweli??? mikutano 10 kwa siku?? ar you serious?? Ebu tuonyeshe ratiba ya nec ikionyesha mikutano 10 kwa siku.
Comrade vumilia bado siku chache sana maumivu yatakua ni makali sana kwa chadema. Magufuli ni chaguo la wengi.HATUMTAKIII HATA BURE. TOA HAPA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwanini nyuzi za Magufuli zimedoda hapa jf na kwingineko ?Sisi Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu tutamchagua tena Jemedari MAGUFULI na wagombea wengine kutoka CCM. View attachment 1573146
Tupo busy na kampeni watanzania wana kiu kubwa ya kumsikiliza Rais wao mpendwa akiwaeleza mipango mathubuti ya maendeleo.Hivi kwanini nyuzi za Magufuli zimedoda hapa jf na kwingineko ?
Kwisha habari yenu wanafiki nyinyiTupo busy na kampeni watanzania wana kiu kubwa ya kumsikiliza Rais wao mpendwa akiwaeleza mipango mathubuti ya maendeleo.
Comrade ukiingia jukwaa la siasa kati ya nyuzi kumi saba zinamuhusu Magufuli.
Lissu kila baada ya dakika mbili lazima amtaje Magufuli.
Sasa sijui uko udoda unakokusema unamaanisha nini comrade.
Mzee wa katiba si msaafu anasemaje huko? Maana ana mapovu balaa!Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .
Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF
========
UPDATES
Jimbo la Kwela
View attachment 1573119View attachment 1573376View attachment 1573377
UPDATES 2
Nkasi Kaskazini akimnadi kamanda Alfred Sotoka
View attachment 1573381
Comrade Kejeli haziwezi kuturudisha nyuma, chama kipo imara na imani kwa wananchi ni kubwa sana kwetu. Na tutashinda kwa kishindo.Kwisha habari yenu wanafiki nyinyi