Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ustadh lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hata mimi naona. Msimu huu beberu litamzalisha mtuWanamuita "Beberu" na mwaka huu beberu hili lazima liwape mimba mbuzijike wa kijani!
Litaanza na yule "mbuzimsemakwelimpenziwamungu"
#Niyeye2020
Nini kinaendelea huko mkuu ? Naona mpinzani wenu wa jadi anawakimbiza sanaSalama kabisa, japo geita tumeshatoka nipo kigoma kwasasa.
Hivi mgombea wa ccm ameahidi nini leo ? Na amesema atatekeleza vipi ? Au ni ahadi tu zisizo na back up inayoshawishi ?Mkuu Erythrocyte asante kwa kubakia kuwa chanzo bora cha taarifa kwa mikutano ya Mgombea wa CDm T.A.L
Chato kuchunga ng'ombe airportTwende na Magu
Comrade ni ukomavu wa kisiasa na ni jambo jema kuwa upinzani imara maana wote lengo ni kujenga nchi.Nini kinaendelea huko mkuu ? Naona mpinzani wenu wa jadi anawakimbiza sana
Basi huo ukomavu uendelee na mkishindwa mkubali matokeo kama lengo letu sone ni kujenga nyumba mojaComrade ni ukomavu wa kisiasa na ni jambo jema kuwa upinzani imara maana wote lengo ni kujenga nchi.
Sisi hatuna neno juu ya hilo, ila historia inawahukumu nyie comrade.Basi huo ukomavu uendelee na mkishindwa mkubali matokeo kama lengo letu sone ni kujenga nyumba moja
Kuna Katavi katikati.Thanks, picha za nyomi ya Rukwa please! Nasikia Sumbawanga walimpokea kwa saprise ya ajabu! Asanteni wanaRukwa!
Comrade, mimi nadhani umefika wakati sote kama wananchi na wadau tuaminiane. Tujenge mazingira sawia ili ukishindwa ukubali tu kihalali na sio kutumia watu kama polisi indefinatelySisi hatuna neno juu ya hilo, ila historia inawahukumu nyie comrade.
Kuna watu wataugua mwaka huuWakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini .
Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea kubaki hapahapa JF
========
UPDATES
Jimbo la Kwela
View attachment 1573119View attachment 1573376View attachment 1573377
UPDATES 2
Nkasi Kaskazini akimnadi kamanda Alfred Sotoka
View attachment 1573381
Ushauri huu chukueni wale mtakao wachagua kuwa mawakala wenu nchi nzima hakikisheni wanakuwa na zile taa za kucharge yaani hilo mlizingatieKuna uzi wake hapahapa ingia huko utapata kila kitu .
Nakubaliana na wewe comrade kabisa amani yetu ni muhimu sana. Hizi kauli za "mwaka huu patachimbika wala hatutokubali kushindwa " zikemewe vikali.Comrade, mimi nadhani umefika wakati sote kama wananchi na wadau tuaminiane. Tujenge mazingira sawia ili ukishindwa ukubali tu kihalali na sio kutumia watu kama polisi indefinately
Ni Tundu Lissu anayetakiwa na watz